Chelsea star Eden Hazard opens up on his relationship with Alvaro Morata

dailystar.co.uk

Nov 19, 2017 9:49 PM

EDEN HAZARD says Chelsea have quality all over the pitch, it’s not about himself and Alvaro Morata.

Chelsea star Eden Hazard discussed his relationship with Alvaro Morata

The Blues ran riot against West Brom yesterday in a 4-0 rout at the Hawthorns.

Hazard netted a brace, with Morata and Marcos Alonso also scoring to sink Tony Pulis’ men.

The Belgium international and Morata have struck up an impressive partnership under Antonio Conte this season.

However, Hazard insists it’s not all about the pair, with Chelsea boasting quality throughout their starting XI.

“It’s not just him and me, it’s the whole team,” Hazard told Chelsea’s official website after the West Brom game.

“When you play with [Cesc] Fabregas, Alonso on the left and [Davide] Zappacosta on the right you can feel the confidence.

“Everyone played with the ball and made great movement.
 
Chelsea FC: Cesar Azpilicueta has played every minute of Premier League football since Antonio Conte became head coach

talksport.com

Nov 19, 2017 10:44 PM

Chelsea are enjoying life under Antonio Conte once again.

The reigning Premier League champions may, like everyone else, not be good enough to catch Manchester City in the race to win the title in 2017-18, but they have certainly re-established their reputation as one of the best teams in the division.

Much of that is down to Conte, the head coach, finally managing to field his preferred XI on a consistent basis, having failed to do that in the opening weeks of the campaign due to a number of injuries.

The likes of Eden Hazard, the forward, and energetic midfielder N’Golo Kante have missed games this term – and Chelsea have been noticeably poorer without the pair to call upon.

However, there is one player who is arguably more important than everyone else in the Chelsea squad, and he has been a key figure at the club since Conte arrived at Stamford Bridge.

Cesar Azpilicueta was regarded as one of the best defenders in English football when Jose Mourinho was Chelsea manager, but he has developed even further under Conte. His best position is now centre-back – rather than left-back – though he has also shown excellence in a right wing-back role.

Azpilicueta, 28, has also developed his offensive game this term, chipping in with five assists and one goal in his first 12 Premier League matches.

But Azpilicueta’s finest trait, the one which really appeals to Conte, is his endurance.

Incredibly, since Conte arrive in west London, Azpilicueta has played every single minute of every single one of Chelsea’s Premier League matches. That is a run of 50 top flight games in which Azpilicueta has started and completed the full 90 minutes.

He may not be the most talented player in Chelsea’s squad – and he is far from the most heralded – but Azpilicueta can stake a real claim to be called Antonio Conte’s favourite, and most important, player.
 
Jamani game ijayo tunakipiga na Liverpool halafu kwao sasa. Hapa silaha yao ni M. Salah. Huyu jamaa ni ana mbio kama Lewis Hamilton kakabidhiwa Lamborghin.

Huyu inabidi atafutiwe mpango mkakati atatumaliza mapema mno atuondoe kwenye mood. Beki yao kidogo haikua vizuri naona sa ivi wame improve wanamaliza mechi hawaja ruhusu goli. Hapa cha msingi ni kuwapiga cha mapema mno halafu tunaangalia mipango mingine
 
Mkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.

Kingine Bakayoko na Kante tuwategemee kuwaona wakipanda sn km siku ya ATM. Yani watapiga box to box ya nguvu kuhakikisha Liverpool hawako salama huku Faby akisokomeza mipasi yake ya mauwaji..
Salah na Mane na Frimenho lazima wapotee.

Ila kuna uwezekano mkubwa Cahill akaanzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Rudiger maana hutu tu Liverpool tunakimbia sn... Azpilicueta, Christensen na Rudiger hawa wanakimbia sn kuliko Luiz na Cahill.

Liverpool lazima akalishwe
 
Salah atapewa Azipilicueta then Christensen anamalizia mbele akiwa hoi...!!!
 
Cahill kuanzia benchi wikiendi ijayo ni ndoto mkuu..labda apate majeruhi hapa katikati!

Mengine nakubaliana nawe.
 
Tetesi
ARSENAL & CHELSEA ZAMWANIA RICHARLISON

Arsenal na Chelsea ndizo klabu zilizoonyesha nia ya kumsajili winga wa Watford Richarlison.
Kwa mujibu wa Star on Sunday , Gunners wapo tayari kupigana vikumbo na mahasimu wao wa London, Tottenhma kuinasa saini ya mchezaji huyo dirisha la uhamisho wa Januari.
 
Ila Numbisa mbona unatuahidi nyama mwisho wa siku unaleta bamia.O:)

Yani title ni Chelsea na Arsenal halafu content ni Arsenal na Tottenham!
 
Jamani game ijayo tunakipiga na Liverpool halafu kwao sasa. Hapa silaha yao ni M. Salah. Huyu jamaa ni ana mbio kama Lewis Hamilton kakabidhiwa Lamborghin.

Huyu inabidi atafutiwe mpango mkakati atatumaliza mapema mno atuondoe kwenye mood. Beki yao kidogo haikua vizuri naona sa ivi wame improve wanamaliza mechi hawaja ruhusu goli. Hapa cha msingi ni kuwapiga cha mapema mno halafu tunaangalia mipango mingine
match ngumu sana ila asibadilishe vikosi dhidi ya man u na westbrom
naamini tutanyakua point tatu muhimu huko huko anfild kwa malafyale
 
Hata akimuweka Pedro badala ya Bakayoko kwa mfano..naamini tutashinda.

Ingawa nahisi kikosi kitakuwa ni hicho hicho, Conte akishaanza kuzoea kikosi huwa anakuwa mgumu kweli kubadilika.
Mechi ya Jumatano pia itatupa dira ya kikosi kitakuwaje.
 
J5 Rudiger na Luiz wataanza na huko mbele hatofanya mabadiliko kwasbbu ni mchezo wa muhimu sn kushinda. Lkn akipata magori kadhaa lazima apumzishe vijana huko mbele
 
Mkuu with 3+5+2 nothing to worry kabisa. Hii ni defensive machine. Najua keshokutwa Luiz atacheza ktk Champions League na dogo Andy atapumzika kwaajili ya Liverpool. Moses atakua amesharudi mana kesho Kutwa atatokea sub. All I know ni kwamba wingback zetu siku hiyo hazitafunguka sn ili kusaidia CB3 ktk ulinzi na kadri watakavokua Liverpool wanalegea ndo goma itapanda kwa nguvu.

Kingine Bakayoko na Kante tuwategemee kuwaona wakipanda sn km siku ya ATM. Yani watapiga box to box ya nguvu kuhakikisha Liverpool hawako salama huku Faby akisokomeza mipasi yake ya mauwaji..
Salah na Mane na Frimenho lazima wapotee.

Ila kuna uwezekano mkubwa Cahill akaanzia benchi na nafasi yake kuchukuliwa na Rudiger maana hutu tu Liverpool tunakimbia sn... Azpilicueta, Christensen na Rudiger hawa wanakimbia sn kuliko Luiz na Cahill.

Liverpool lazima akalishwe

Kuna beki hapo wa kuwakalisha akina Mane?
Bakayoko atafanya nn kwa fit again Coutihno na Lallana pale nyuma?
Nakupiga 2-0 na Man of the Match kipa wenu Courtious
 
Km Lukaku na Kane walipotezwa na dogo Christensen seuze hao mizambwada kina Mane, Firmenoh na Sarafina?

Km Matic na Herrera na Dembele na Wanyama walipotezwa na Bakayoko na Kante seuze huyo prono injury Cout? Ivi Herndo atakuwepo?
 
Back
Top Bottom