eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
chelsea 2
wilian dk 36
wilian dk 36
Conte Mara nyingi husema kila mchezaji ni muhimu na ata km anamuweka benchi ni tactics tu.safi walipambana kuna siku williani anakufanya ujiulize kwanini anakaa benchi
Yani huwezi amini nimekuja kushtuka mechi iko half time. Tena kama sio simu yangu kunipa update ningekuja kukuta manyoya mkuu.mmelala ina maana hamjui match yetu ilikuwa saa 2
Ilikua ni easy game km kupasha misuli moto na Hazard ilikua apumzishwe ndio mana umemuona hivo. Ktk siku ya lfc huwezi ona huo itumbo aliofanyaIla kuna saa Morata akicheza unahisi Torres amerudi Chelsea....
Anyway, kwa leo namsamehe hakutaka kuumia...
pole, ndio nimeshangaa kimyaa kisicho cha kawaidaYani huwezi amini nimekuja kushtuka mechi iko half time. Tena kama sio simu yangu kunipa update ningekuja kukuta manyoya mkuu.
Bahati nzuri nimeyaona magoli mawili ya second half.
kuna match jumamosi mkuuIla kuna saa Morata akicheza unahisi Torres amerudi Chelsea....
Anyway, kwa leo namsamehe hakutaka kuumia...
kuna match jumamosi mkuu
hiyo ni muhimu sana kushinda kuliko maelezo