Ila kuna saa Morata akicheza unahisi Torres amerudi Chelsea....
Anyway, kwa leo namsamehe hakutaka kuumia...
umenifanya niangue kicheko!Ila Morata kuna wakati huwa simuelewi kabisa!3-5-2 ndio uko bomba sanaWakuu hebu naombeni mnipe mawazo yenu Kati ya 3+4+3 na 3+5+2 ktk hii mifumo mwili ambayo Conte anapenda kuitumia ni upi uko vzr sn?
Itakua game rahisi sn maana Liverpool wanategemea mipira mirefu ambayo hupingwa na mabeki Sana Sana au mids zao na kuwafikia kina Salah, Mane au Firminho ambao hukimbia sn. Sasa ili Chelsea kublock hii mipira inabidi wakabie juu. Yani Faby, Kante na Bakayoko wanatakiwa wakabie juu kabisa ktk dimba la Kati. Na ili kukabiliabiliana vzr na Liverpool mifimo yote miwili inafaa.Mechi YETU na Liverpool ni tight GAME SANA, Liverpool watajaribu kupark midfielders ili kuanzisha mashambuzi kutoka katikati ya UWANJA. Eden Hazard amewataka teammate s wenzake wasiopush sana mbele, tutapingwa counter attachs za HATARI MNO.
TUCHEZA compact and box to box midfielde ili kucontest mipira yote ya katikati ya UWANJA
He is happy at bridge but admires real madrid,... Kuna mchezo unasukwa apa ,real atoe mtonyo wa maana,Mshambuliaji wa Ubelgiji Eden Hazard, 26, amesema kuwa atasalia hadi mwisho wa msimu kutathmini hatma yake katika klabu ya Chelsea (Canal+ via Independent)
Habari njema sana ni uwepo wa Victor Moses katika kikosi cha kesho.
He is happy at bridge but admires real madrid,... Kuna mchezo unasukwa apa ,real atoe mtonyo wa maana,
No Chelsea wanatafta soko spain ndo wanajua kutoa pesa takaso,hizi tafsiri za waandisi wa habari kuuza magazeti!