Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yani kuna watu walikuwa bize kumponda Cahil mpaka utamuonea huruma. Sikatai he is not our best defender lakini Rudiger wa leo hawezi kumpiga benchi Cahill. Labda msimu ujao.

Ingawa pia, ile midfield ya Bakayoko na Kante inasaidia sana ku-proof mashambulizi la sivyo hata Alonso angeaibishwa sana.
Cahill ni beki mzuri sn sema hawezi kukimbia kwa kasi sn ndio mana huwezi muona akipanda mbele sn km Azpilicueta...

Lkn kwa Wale ambao walikua hawamuelewi Conte na mfumo wake wa 3+5+2 sasa wataanza kumuelewa..

Ukiifatilia juventus ile ya kina Vidal, Pogba na Piro ndo hii Chelsea ya sasa ya Bakayokoy, Kante na Faby....

Kule mbele ukiwaangalia vzr Morata na Hazard tayari wameshakua kitu kimoja.. Na Bakayoko na Kante hawa watatimua vumbi sn ktk box to box huku wakimwacha Faby kwa chini ili aweze kusokomeza zile pasi zake za mauwaji....
 
Natamani siku moja Drinkwater na Kante wacheze pamoja...sijui itakuwaje..Baka akae benchi kidogo.
Itakuja kutokea tu ingawa si mapema hivi mana Faby anachezeshwa kwa kz moja tu ya utoaji pasi uliotukuka huku Baka yeye anachezeshwa kwa kz yake ya ukabaji mzuri na kupeleka timu mbele.

Drinkwater ktk ukabaji yuko vzr na ata utoaji pasi yuko vzr though Faby is top on that.
 
hahahaa we jamaa wewe kwa hiyo kitokunyoa ndevu ndio kumefanya awe vizuri
ila naona amehama rasmi mfumo wa 3-4-3
na sasa ameamua kwenda na 3-5-2
huyo ndio konte naona west brom nao walijaribu kuuiga tena
Kahama kimtindo ingawa hawezi maliza dk 90 na mfumo huo huo.

3+5+2 ni bomba la mfumo hii ni defensive machine. Na kui unlock ni kz ngumu sn.....

Jana Chelsea walianza na 3+5+2 wakamaliza na 3+4+3
 
103165b8a0b7982a673a1b060c6d05d0.jpg
History in the making
 
amini usiamini kante anafukia madudu mengi sana pale nyuma kwa cahill na wenzake
kwangu mimi hakuna kiungo bora mkabaji duniani kwa sasa kama kante
povu ruksa
Eden kimario......Nakubaliana na wewe. Kante yuko vizuri jamaa anatembea na movement....mpira unaelekea wapi na yeye huko huko.
Ufupi wake pia unamsaidia kupenya popote hata kama njia ni nyembamba lakini anapenya kama panya.
Tumwombee asipate jeraha kipindi hiki ambapo meli tayari imeng'oa nanga.
 
Eden kimario......Nakubaliana na wewe. Kante yuko vizuri jamaa anatembea na movement....mpira unaelekea wapi na yeye huko huko.
Ufupi wake pia unamsaidia kupenya popote hata kama njia ni nyembamba lakini anapenya kama panya.
Tumwombee asipate jeraha kipindi hiki ambapo meli tayari imeng'oa nanga.
Shukrani nyingi sn kwa Conte kumsajili Kante na kumleta darajani......
 
Lakin mbona kila akifanya sub huwa chel inazidiwa. Mfano mech chel vs Mu sub ilitaka kuigarim chel. pia sub za jana za kina Haz, fabr na Cante ilifanya timu kucheza vibaya. Sema wapinzan walishaathirika na 4G wasingeliweza kubadilisha matokeo
 
Natamanni saana Drinkwater apate namba ya kudumu kwny kikosi cha kwanza

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
bakayoko ameshamstukia drinkwater naona hataki kabisa kuambiwa akakae jukwaani
toka match na man u na ile ya jana amebadilika kweli ila anaendeshwa na kante na naamini pia dany ni mchezaji mzuri pia kama akicheza na kante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom