Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Imeripotiwa kuwa Luiz hana maelewano mazuri na meneja wa Chelsea Antonio Conte baada ya kuhoji mbinu za bosi wake Blues wakinyukwa 3-0 na Roma.

Hiyo sababu hapa aisee! Ile mechi walifungwa kwa uzembe wao wenyewe, tena ikiwemo uzembe wa Luiz
 
MOURINHO AJIPANGA KUMSAJILI LUIZ


Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anajipanga kufanya uhamisho wa kushtukiza kumsajili beki wa kati wa Chelsea David Luiz, kwa mujibu wa Express .
Bosi huyo wa zamani wa Chelsea anaendelea kufuatilia maendeleo ya Mbrazili huyo baada ya kuachwa kwenye kikosi kilichocheza dhidi ya Man United wiki mbili zilizopita.

Mourinho huyu huyu alimuuza kwa maneno mengi sana kuelekea PSG, na kusema hamuoni kama ni beki?
 

michy.PNG
 
Mourinho hana tofauti na baadhi ya viongozi wa timu za ligi kuu bara Tz. Mchezaji ndio mpokea lawama zote bila kujali kosa ni la kocha au uongozi

Ni kweli kabisa, ila hapo hapo kuna tetesi Mourinho anataka kuenda PSG mwisho wa msimu. Na hapo hapo Luiz anatakuenda Man Utd kuwa chini ya Mourinho.

Vyombo vya habari vya Uingereza vinakuza sana mambo aisee!
 
Match date: Saturday, November 18, 2017

Time: 18:00 (Kumi na mbili jioni, saa za kitanzania)

Premier League - Round 12

Stadium: The Hawthorn


West Bromwich Albion have lost 16 games against Chelsea in the Premier League, their joint-highest total against an opponent alongside Arsenal and Manchester City. https://btfr.co/136325268

After failing to win in four visits to the Hawthorns between 2012-2015 (W0 D1 L3), Chelsea have since won back to back games there, including last May when Michy Batshuayi scored to seal the title in a 1-0 victory.

This will be Antonio Conte's 50th Premier League game in charge of Chelsea, with the reigning champions winning more points (115) than any other side since the start of last season. https://btfr.co/136325184

Conte has the best win percentage of any permanent Chelsea manager in league history (75.5%).

Chelsea have won nine of their last 11 away games in the Premier League, losing 0-2 at Old Trafford in April and 1-2 Selhurst Park in October. https://btfr.co/136325262

West Bromwich Albion have lost all 11 of their previous Premier League home matches against reigning champions, with an aggregate score of 8-28.

The Baggies have won just twice in their last 20 Premier League games (W2 D6 L12) and are winless in their last nine.

Alvaro Morata has been directly involved in 10 goals in his first 10 Premier League games for Chelsea (seven goals, three assists) - only Diego Costa (11) had more goal involvements in his first 10 for the club.

Morata has won more points with his goals and assists in the Premier League this season than any other player (8).
 
Tetesi
UZA WILLIAN, NUNUA LUCAS MOURA


Chelsea watamuuza Willian Januari kwani wanataka kumsajili winga wa Paris Saint-Germain Lucas Moura majira ya baridi, le10sport limedai.
Habari zinadai kuwa mshambuliaji huyo wa Blues yupo tayari kwenda China jambo litakalomfungulia milango Lucas.
Huu utakuwa ni uwendawazimu
Wilian ni bora mno kuliko moura
 
Kuna vitu vikubwa pale chelsea naomba vipite kando sana yan visitokee
1: kuachana na Conte kumchukua Ancelloti kocha ambae kaenda madrid na bayern anaeza kuchukua wachezaj wakubwa na bado kafukuzwa aje pale swala hili dah spend litokee kabisa
2: kumnunua bale £85 mchezaj ambae ni majeruh umri 28 atatutesa tu yule bora abakie huko huko madrid alipopachagua
3: kuuza mchezaj mwngne man u
4: kumuuza hazard madrid na kumsajili mchezaj kama bale kama wakimchukua hazard watupe isco sawa
 
kama ukimuona conte amempeleka kati aspi basi ujue tunafungwa hiyo match
lakini usipomuona kante ujue ni majanga zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom