Naona akili zinaanza kuwarudiapigaaaaaaaaa
Tukifungwa leo basi ni conte kumpeleka aspi katikati wakati zapa yuko benchi
Hizi akili zake sijui anazitoa wapi
Kuna match alipanga hivi hivi tukaishia kutaabika tu
Kitakachotuokoa ni wafungaji kufunga magoli ya kutosha
Mabeki anajaza wengi na bado tunafungwa hata sioni maana yake kabisa