Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
ngoja tufungwe siku mamluki watakuja kulisogeza hili jukwaaNaona jukwaaa halisogea kabisa sijui ndio kisa ushindi mwembamba
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
ngoja tufungwe siku mamluki wataluja kulisogeza hili
kuna mmoja wakuitwa Jux Juma ndo mwehu kabisa utamskia wakuu Conte anatuharibia timu bora afukuzwe![]()
![]()
![]()
![]()
Tena watakwambia pale langoni hatuna kipa....
Nazani kwa sasa yupo kitaani anakinukisha kisa simba na yanga.kuna mmoja wakuitwa Jux Juma ndo mwehu kabisa utamskia wakuu Conte anatuharibia timu bora afukuzwe
Huyo jamaa ni kDuh mkuu, ni kwamba simu yako haina kitufe cha 'K' ama?
Mpaka napata ukakasi kukujibu kwa uandishi huu aisee. Samahani lakini.
Eti watumishi hewa...next we meet As ROMA in the champions league, tukishinda hiyo mechi tutakuwa tushafuzu na hapo conte atakuwa na nafasi ya kufanya rotation hata kwa watumishi hewa, meaning wanaokula mishahara ya bure kama kennedy.
marcos alonso anatakiwa awe anapumzishwa na nafasi yake awe anaingia dogo kennedy,
sijui kwanini conte hawaamini hawa madogo[kennedy+musonda].
Haha hha cryz moment![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tena watakwambia pale langoni hatuna kipa....
Eti watumishi hewa...
sasa kama yule golikipa wetu Edwardo ni 3rd choice na hajawahi hata pangwa mechi moja utamuitaje?????????
na aanachukua mshahara mzuri tu.
Hahahah mkuu acha comedy..Eduardo anasaidia kwenye mazoezi...hahahahah