Yeap its not a friend gam its compitation so they must put a all man in the pitch mzeeeeEvertom wamekamia game naona wameanza full mkoko
![]()
Daadek!
Kiukweli kenedy anastahili kucheza pia baadhi ya match za ligi kuu![]()
Huyu dogo akiongeza discipline na kujituma, huenda akamtoa Alonso kule kushoto!
sikuiona mechi lakini huyu bwana inaonekana bado yuko fit ametuokoa janaANA MIAKA 36...
![]()
Cahill sio JT, anafanya too many wrong decisions katika mechi, it's matter of time Conte itabidi amvue kitambaa cha CAPTAIN labda akili zake zitatuliaWahenga waliposema, you are as strong as your weakest link, hawakukosea.
Tunamuona Cahill mbovu kutokana na partner wake kwenye hiyo wing.
Hii lugha ulijifunzia wapi?Yeap its not a friend gam its compitation so they must put a all man in the pitch mzeeee
Hapo tushindwe wenyewe kwa kweli.Wadau droo tyr
mpira unadunda totenham wametolewa na westham tena wakiwa wanaongoza goli 2Hapo tushindwe wenyewe kwa kweli.
ndiyo namna ya kujenga uzoefu wa lughaHii lugha ulijifunzia wapi?
Potelea pote, hii si game ya kufungwa!mpira unadunda totenham wametolewa na westham tena wakiwa wanaongoza goli 2
Mchawi karudi sasa