eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Midia za england ni za kipumbavu
Midia za england ni za kipumbavu
Huyu na pogba hawana tofauti
Pogba kamzidi huyo kwa mwezi anaweza nyoa mara nne yule huyo kabadilisha kwasababu aliweka ahadi akifunga katika Ligi atabadilisha rangi ya nywele ndo akafunga ile game na Crystal Palace so ametimiza ahadi yake.Huyu na pogba hawana tofauti
Pamoja na kupona ni afadhali awekwe benchi ili awe fit kwa game ya Jumanne na Roma.
Lakini kweli tunae Dan drinkwater atasaidiana na bakayokoPamoja na kupona ni afadhali awekwe benchi ili awe fit kwa game ya Jumanne na Roma.
Kikosi cha leo nimekipenda
Leo Conte kaskia kilio chako Cahil benchLakini kweli tunae Dan drinkwater atasaidiana na bakayoko
Ila conte anaweza kumwanzisha kwa game ya leo
Kanifurahisha sana sanaLeo Conte kaskia kilio chako Cahil bench
Ndio akili yake hiyo...
Nafasi nyingi zinatengenezwa umakini ndo shida tungeshawapiga 3 hawa mapemaDah wanajitahidi kutengeneza nafasi...