Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_2572.jpg
 
Hahaha mkuu hapo hamna kitu umeongea yaani nimekuuliza swali tu goli gani ambalo unaweza kumlaumu pale kipa kwamba ni uzembe wake?
jana Roma wamepiga mashuti saba yaliyolenga goli wamefunga magoli matatu na katika magoli hayo hakuna hata moja ambalo ungeweza kumlaumu kwamba ni uzembe wake kama vile haitoshi Courtois kafanya saves 4 jana.
kipa mzuri ukimwangalia unamuona, pale hatuna kipa. Mi sibshani saana muda utafika tu utaona kua hatuna kipa!
 
mkuu unaonekana na wewe una matatizo yako binafsi, kwanini unamkingia kifua cahil???????
hivi unadhani ni mimi tu nnae ona cahili hafai?????? kwanini kundi lote.
nimekutajia hadi kocha wa crystal palace anayemjua fika cahili kuliko sisi coz kam coach national team then anakwambia aliwaambia akina zaha watarget angle ambayo cahili yupo??????
wewe na hodgson nani anamjua zaidi cahili??????? kama huna asili ya ubishi au mahaba na cahili nini??????
hodgson aliekuwa n
ae nationa team.
nijibu kwanza kati yako wewe na roy hodgson nani anamjua zaidi cahil????????
Mkuu cahil ni tatizo anakabia ndani ya box mara nyingi, opponent akitoka mbali Cahil anarudi kwenye box ndio akabe sio kwamba ni mbaya Ila anafanya hivo Mara nyingi snaa
 
msimu wake wa mwisho, hivi hamuoni cahili anavokuwa abused mostly from his/her supporters on twitter and social network???????
ulimsikia thierry henry anavomuelezea cahil kuwa ndo weak point ya chelsea??????
ulimsikia roy hodgson baada ya kutufunga aliongea kuwa aliwapanga akina zaha wam target cahil ndo weak point???????
cahili huyu awapishe vijana wa kazi.
conte namkubali sana, ila akiendelea kuwakumbatia watu kama akina cahili na fabregas aiseee hapo no way out.
Kila mshambuliaji wa timu pinzani anajua anaweza kufika mpaka kwenye penalti box akipita upande wa cahill
Conte kama akifukuzwa basi cahill ndio mhusika wake ye amng'ang'anie tu
 
Kikosi changu cha leo
Rudiger, aspiliqueta,christiensen
Alonso,luiz,bakayoko,zappacosta
Hazard, morata, pedro

Kinyume na hapa tunafungwa tena
Yangu macho
Kama conte hawezi kupanga hiki kikosi watford hawatatuacha salama tena
Rudiger, aspiliqueta, christensen
Alionao, luiz, bakayoko,zappacosta
Hazard, morata,pedro hiki ndio kikosi cha ushindi kila match
Conte hajagundua tu
 
Leo chama langu watford linamvupua mtu hapo hapo kwake baada ya kukoswakoswa na roma leo zamu ya watford namuona Okaka kwa mbali wiki ijayo marudiano na crystal palace yule haonagi hatar kuondoka na point 3 darajani zahaaaaa
 
Chelsea's XI vs Watford:
Courtois
Rüdiger,David Luiz,Cahill
Azpilicueta,Fabregas,Bakayoko,Alonso
Pedro,Morata,Hazard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom