Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah cjui conte cahill anampendea nn??

Cahill kafanya kosa gani?>?????

Nimegundua watu tuna chuki binafsi tu na Cahill. Mtu pekee ambaye nitampanga mbele ya Cahill ni Azpilicueta. Hao wengine wote - Luiz, Rudieger, na Christensen - wanakaa benchi mbele ya Cahill.

Halafu cha kushangaza, Cahill kafanya kosa moja ambalo halikusababisha goli ila Goli mbili za leo ni makosa ya Azpilicueta (labda goli la Kolarov lawama wanaweza ku-share na Zappacosta) ila sioni mtu akimsema Azpi.

Acheni hizo, Cahill is a good defender KWA KULINGANISHA na mabeki wengine tulionao. We can get better defenders huko mbeleni. Christensen akipata game pia ana-improve.

Mfano mwingine wa hili goli alilofunga Kolarov, angekuwa Cahill pale angejilaza angeweka mwili kujaribu kuzuia, ila umeona alichofanya Christensen!??? Muacheni Cahill aisee. subirini afanye kosa vivid ndo mumseme sio kila siku mnatokwa povu tu kumponda. HE IS THE CAPTAIN for a reason!!!!
 
Mtu wa kwanza kumfukuzisha conte Darajani ni cahili
Rudiger, christensen, aspiliqueta

Au luiz,rudiger,aspiliqueta

Kinyume na hapo safari ya conte Darajani ni fupi mno
 
Kuna goli tulikuwa tunafungwa la nne sababu ya cahill
Ukabaji wake wa kumpa adui nafasi ya kuja haujawahi kunifurahisha
Halafu kuhamasisha wachezaji kuipigania team kama alivyokuwa Tery hawezi
Kiufupi team imekosa kiongozi mhamasishaji ndio maana nilitaka kitambaa apewe hata luizi
 
Mtu wa kwanza kumfukuzisha conte Darajani ni cahili
Rudiger, christensen, aspiliqueta

Au luiz,rudiger,aspiliqueta

Kinyume na hapo safari ya conte Darajani ni fupi mno

Duh mkuu bado upo na Cahill?

hebu toa facts kwa mechi ambazo tumecheza walau.

Pili, angalia antoher effect. Cahill siku hizi hachezi kati, anacheza kushoto. Wing back anayecheza naye ni Alonso.

Angalia Azpilicueta anacheza na Moses..na hapa simaanishi kumpunguzia sifa Azpilicueta. Ila hiyo nayo inachangia sana kumpunguzia sifa Cahill. Usimtupie mawe sana kihivyo kwa kumlinganisha na wachezaji tulionao. Cahill ataondoka taratibu na kina Christensen wataingia taratibu..just as we phased out Terry. Ila kwa msimu huu bado ana nafasi/mchango.
 
1. Kuna goli tulikuwa tunafungwa la nne sababu ya cahill
2. Ukabaji wake wa kumpa adui nafasi ya kuja haujawahi kunifurahisha
3. Halafu kuhamasisha wachezaji kuipigania team kama alivyokuwa Tery hawezi
Kiufupi team imekosa kiongozi mhamasishaji ndio maana nilitaka kitambaa apewe hata luizi

1. Tumefungwa magoli mawili kwa errors za Azpilicueta leo, what do you say about that? Goli la Kolarov angekuwa Cahill/Terry angejilaza/jitupa mwili mzima, ila Christensen kakwepa kabisa, what do you say about that?

2. Has he been effective? amecheza hivyo miaka mingapi na bado yupo first eleven ya Chelsea na England...what do you say about that?

3. Hapo nakubaliana na wewe. Kwa mtazamo wa uwanjani. Huenda his influence nje ya uwanja ni zaidi...????
 
Chelshit mna li team libaya. Halaf mkitaka kusajil, msisajil mchezaji ambaye tayar kashacheza uefa/Europa, maana hamtaweza kumtumia kwenye uefa. Lkn mnaeza aga mtoano.
 
Chelsea yangu imebadilika baada ya Diego Costa kurudi Atletico. Kwa jinsi siasa za Chelsea zilivyo bs kuna kamgomo fulani ka kumfelisha kocha, ni suala la muda tu!
 
WAKUU MINAONA CONTE KAMA ANATUALIBIA TIMU THIS IS IMPOSSIBLE YANI NYUMBANI KABISA
 
CL is pia walifunga mbili
Mm 5 nilipigwa na maestro Pep nikiwa pungufu wakiwa kwake!
Ww 3 na Roma kweli tena kwako?
Kwahiyo ukiwa pungufu ndo nn?
Kwani ulionewa kuwa pungufu?
Chelsea tulicheza Camp Nou 2012 na huyo huyo maestro Pep unaemsemea tukiwa pungufu na magoli mawili nyuma na tukasawazisha yote how about that?
Unadhani kuwa pungufu ndiyo sababu ya kufungwa?
Unaijua form ya Roma msimu huu?
Kaangalie msimamo wa Serie A kwanza halafu utajua tumecheza na timu ya aina gani
 
Hadi Gerrard katusaidia kusikitika leo...kilichotufanya kumuuza Matic kisa Bakayoko sijakijua bado!!!! Age notwithstanding bado Matic is way better than Bakayoko!
Mkuu hawa pundits siyo watu wa kuwaskiliza sana hawa ni benderea fata upepo tulivyoshinda game ya Atletico huyo Gerrard alisema hakuna timu iliyowahi kuperform kama vile katika uwanja wa Atletico miaka ya karibuni hata Barcelona na Real Madrid hawajawahi ukumbuke katika hiyo timu anayosemea Bakayoko alikuwepo na alicheza dakika zote 90+ Leo baada ya draw anaquestion kwanini Chelsea walimuuza Matic kwa Bakayoko?
Kwanini asiulize game ya Atletico kauliza jana huoni kwamba alisubiri timu ikosee ndiyo apate nafasi
 
IMG_2543.jpg

Mliotoka majukwaa yenu kuja huku kutafuta umbea pelekeni huu mrejesho.
 
Kipa hatuna kwa uthibitisho upi?
Kaokoa mangapi?
Goli gani pale la kumlaumu kipa?
Kuokoa hiyo ni kazi yake hata ww leo ukapewa goli ukaambiwa kaa udake, lazima kuna utakazosave........
Huwezi jua nachokisema ila its the matter of tym utakuja kujua kuwa tuna kipa mbovu!!
Angalia mashut y mbali yakipgwa anaporuka na mipira unapokua, jana roma wangeweza kila shuti likalenga goli tungekula hata nane.
 
Hahaha mkuu hapo hamna kitu umeongea yaani nimekuuliza swali tu goli gani ambalo unaweza kumlaumu pale kipa kwamba ni uzembe wake?
jana Roma wamepiga mashuti saba yaliyolenga goli wamefunga magoli matatu na katika magoli hayo hakuna hata moja ambalo ungeweza kumlaumu kwamba ni uzembe wake kama vile haitoshi Courtois kafanya saves 4 jana.
 
1. Tumefungwa magoli mawili kwa errors za Azpilicueta leo, what do you say about that? Goli la Kolarov angekuwa Cahill/Terry angejilaza/jitupa mwili mzima, ila Christensen kakwepa kabisa, what do you say about that?

2. Has he been effective? amecheza hivyo miaka mingapi na bado yupo first eleven ya Chelsea na England...what do you say about that?

3. Hapo nakubaliana na wewe. Kwa mtazamo wa uwanjani. Huenda his influence nje ya uwanja ni zaidi...????

azpiculeta hizi mechi mbili kacheza hovyo sana, but cahil ni LIABILITY hilo hata haliitaji jicho la tatu,
mbona mourinho alikua anamuweka benchi na kumpanga zouma and no body complain?????
cahil mda wake umepita, walikuwepo akina ivanovich, carvalho, terry kwenye ubora wao ila walivo demise wakawapisha vijana wa kazi.
conte msimu huu atauona mgumu na kushindwa kufikia target kama ataendelea kuwakumbatia wachezaji ma floppy kama [cahili+fabregas].
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom