Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Mbona Madrid kashindwa kumfunga Spurs jana at his own Turf?CL ni team yyt ile ngumu!!
You cant beat Roma at your own turf?
Aibu sana
Mbona Madrid kashindwa kumfunga Spurs jana at his own Turf?CL ni team yyt ile ngumu!!
You cant beat Roma at your own turf?
Aibu sana
Aahahah
Edwin Dzeko hapo hapo mbele ya wake na watoto wenu anawabamiza!
Kwa kweli mwaka huu team hamna ndugu zangu
Ehehehe
Kwahiyo unataka kusema Conte hakuwa analijua hilo? Au unataka kusema hakuweka mkakati wa kutosha kumzuia?Dzeko ni mshambuliaji wa rank ya juu na ana uzoefu mkubwa sana. Conte alitakiqa kujia hivyo na kiweka mkakati wa kutosha

Wee jana umeshinda tano basi kelele nyingii. ..mechi moja tu ulifungwa bao 5! Sembue hiz mbili ..acha ushamba.Mechi 2 mmefungwa bao 5!
Ingekuwa Liverpool beki yake ndiyo nyanya hivi media zote tusingelala lkn kwa sababu ni Chelsea wapo poa tu!
Beki yenu afadhali ya Liverpool aisee
Hao Liver mechi moja tu (vs City) waliruhusu bao 5 sasa sijui unataka kuongea niniMechi 2 mmefungwa bao 5!
Ingekuwa Liverpool beki yake ndiyo nyanya hivi media zote tusingelala lkn kwa sababu ni Chelsea wapo poa tu!
Beki yenu afadhali ya Liverpool aisee
Karibu mkuu....hongera bwanaamkuu ollachuga hodi hodi tufungulie mlango
ile ya Luiz binafsi nilimuelewa anataka kushambulia na Luiz alishaonyesha kuchoka maana alifanya kazi kubwa sana kipindi cha kwanza lakini ile ya Hazard sikuelewa kwanini aliamua kumtoa haswa kwa kumuingiza Willian aiseee pale nilijua Chelsea hawapati tena goli labda iwe set piece maana Willian so far hayuko vizuri kabisa msimu huu.Sjaona sababu yeyote CONTE kumtoa Luiz na kumwingiza Pedro ..kamtoa hazard wakati alikuwa na moto wa kushato. ..CONTE anazingua sana msimu huu aisee
Wee UEFA jana ndo gemu yako ya kwnza kushinda; umedroo gem mbili na bado uhakika wa kufuzu huna. .na hata ukifuzu ufiki mbali. Unatuletea kelele tu hapa ..wee jiandae kwenda Europa tu huna namna.CL ni team yyt ile ngumu!!
You cant beat Roma at your own turf?
Aibu sana
Mi niliona kama aliekua amepwaya ni fab wala sio bakayoko..........Dah! mazee kwa mwenendo wa timu tukikutana na litimu kama PSG tutakufa nyingi sana aise..
Yani tunaruhusu goli nyingi sana msimu huu daah! Kiungo pale kati ni matatizo Baka anapwaya sanaa..
Tunaruhusu timu pinzani kucheza mpira mwingi kuliko sisi. ..yan CONTE sijui ana mpango gani aise. Hapa ndo tunaona umuhimu wa player kama matic ..kocha itabidi afanye mapinduzi aisee na bodi unazingua mnoo Jan tusajili banaa...sio kwa mpira huu wa leo ..hauna mvuto kabisaa
Kipa hatuna kwa uthibitisho upi?Mi niliona kama aliekua amepwaya ni fab wala sio bakayoko..........
Halafu kipa hatuna mule.
Kwahiyo unataka kusema Conte hakuwa analijua hilo? Au unataka kusema hakuweka mkakati wa kutosha kumzuia?
Dah! mazee kwa mwenendo wa timu tukikutana na litimu kama PSG tutakufa nyingi sana aise..