Hahaha wewe jamaa unachekesha sana inaonesha una wivu sanaHuyu moratta nampa mechi 21 tu, baada ya hapo anageuka kuwa garasa
Ni kweli mkuu ila naamini kila match huwa ina game plan katika hili Conte nimtokea kumuamini sana, ana maana kubwa sana kutowaanzisha Hazard na Zappacosta. Kwa hiyo inawezekana tukaeashinda vizuri tu. Ukiachana na hizo sababu nyingine za kuwa home tuna nafasi kubwa sana kumpiga Man Citysiyo kirahisi kama unavyodhani wameimarika sana msimu huu kwanzia nyuma kati hadi mbele.Itakuwa game ngumu sana kwetu lakini kucheza nyumbani inaweza kuwa advantage kwetu.
Sasa hizo match 21 ndio zitampa ugarasa au vip.?Huyu moratta nampa mechi 21 tu, baada ya hapo anageuka kuwa garasa
wewe tushakuelewa unampenda tu Luiz ni sawa huwa inatokea kumpenda mtu sana hata kama akikosea mindhali unampenda inabidi ukaushe tuNapata ukakasi kidogo akiongelewa vibaya mchezaji ninayempenda (just as a player). Ila David Luiz ana mapungufu na mazuri yake. Kwa kuanza tu niseme - nitampanga David Luiz wakati wowote mbele ya Christensen.
Then tuje kwenye uchambuzi;
1. Experience: He has played these games. Anaijua ligi, anajua experience ya kucheza against strikers wengi. For that he is far ahead of Christensen
David Luiz ame-mature sana over the years. Nadhani umri pia umempa hilo ama kukaa na wachezaji wakongwe (walau kiumri) kumemfanya akue kifikra. Msimu uliopita ni uthibitisho mzuri wa hilo. Ametulia sana kama beki tofauti na ngwe yake ya kwanza alipokuwa nasi.
Zaidi sana ni uwezo wake wa kuona mbele (attack). Kidogo kidogo na ingawa huwezi kulinganisha ubora wake na Fabregas lakini nadhani he is doing a good job at it. Anajitahidi sana kuangalia mbele na sio tu kwa Ngolo au mabeki wa pembeni. Sifa hii Christensen hana na nakubali hana kwa kuwa hana bado uzoefu. Christensen kwa sasa anahangaika kumuaminisha kocha kuwa ni beki mzuri. Amezuia sana juzi na kutoa pass accuracy ya 96% lakini pasi zake asilimia kubwa ni kwa Kante na kwa mabeki wa pembeni na kipa. Sawa hiyo ni basic ya beki, ila ili kumuweka bench Luiz ni lazima uoneshe uwezo zaidi ya huo.
Kwangu mimi na sio kumponda Cahill. Ningempanga Christensen mbele ya Cahill. Lakini pia sio mechi zote. KWa sasa Christensen anahitaji sana kucheza ili kujiongezea kujiamini afanye zaidi ya kuwa beki tu. Ila ningemtoa kafara Cahill kabla ya kumfikiria Luiz.
Again kama nilivyoanza, nampenda Luiz kwa sababu nyingine nyingi nje ya uwanjani hivyo ninaweza kuwa biased. Kwangu mimi akitoka Azpilicueta ningempa Luiz ukapteni mbele ya Hazard!
Hazard haanzi kwasababu ya match fitness na si sababu nyengine lakini bila shaka ataanza mechi ya Man City lakini kwa upande wa Zappacosta itakuwa vigumu kwake kuanza kikosi cha kwanza mbele ya Moses katika mechi nyingi za Ligi na Uefa especially zile muhimu na zile ambazo zinaonekana kuwa ngumu kidogo kwa Chelsea kwasababu Moses ana experience kubwa na Ligi ana nguvu zaidi pia anakaba vizuri japo si mzuri sana kwa kwenda mbele kama alivyo Zappacosta.Ni kweli mkuu ila naamini kila match huwa ina game plan katika hili Conte nimtokea kumuamini sana, ana maana kubwa sana kutowaanzisha Hazard na Zappacosta. Kwa hiyo inawezekana tukaeashinda vizuri tu. Ukiachana na hizo sababu nyingine za kuwa home tuna nafasi kubwa sana kumpiga Man City
Nimekuelewa kiongozi. Lakini sikusema Hazard haanzi si kwa sababu ya fitness ila ni plan za Conte mwenyewe.Hazard haanzi kwasababu ya match fitness na si sababu nyengine lakini bila shaka ataanza mechi ya Man City lakini kwa upande wa Zappacosta itakuwa vigumu kwake kuanza kikosi cha kwanza mbele ya Moses katika mechi nyingi za Ligi na Uefa especially zile muhimu na zile ambazo zinaonekana kuwa ngumu kidogo kwa Chelsea kwasababu Moses ana experience kubwa na Ligi ana nguvu zaidi pia anakaba vizuri japo si mzuri sana kwa kwenda mbele kama alivyo Zappacosta.
jifunze kutype vizuri ueleweke.Hivi jamani msema nini khs David Luis, ni bonge la beki duniani, unakumbuka alipotua alipokuwa PSG pale pale darajani. Kwenye mechi ngumu, mourinho alikuwa anamuweka kucheza kama defensive mild fielder, anakata sana, he plays very combative and he strongly intervene most of the penetrating passes.
Waulize Liverpool mwaka ni pale pale ANAFIELD, waulize SPURS, mechi ya juzi
Mkuu ki ukweli kuna maharamia wazamiaji wanataka kupoteza lengo la thread. Ila wavumilie tu kama utashindwa basi safari njema. Si ngoja tupambane nao tukiondoka wote wataanza kujisifu wametushinda.Nilifikiri mimeingia kwenye group la mashabiki waastarabu na wenye kuheshimiana, kumbe some of them use very abusive language to the other members.
IPO message ya MTU mmoja anamtukana member mwenzake humu, kama ndiyo tabia hii itaendelea ya kukashifu watu humu, nitajiondoa humu
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Willian anaanza kutokana tu Hazard kuwa majeruhi msimu uliopita willian alikuwa anatokea bench mbele ya pedroIla mi nazan conte anaujua uzaifu wa wilian ndio mana anamwanzishaga mapema ili ikionekqna anaharbu bas yaingizwe majembe yarekebshe hali..
Yan binafsi namwamin sana Hazard, Zapavcosta wale wakiingia kama sub bas mchezo lazma ubadilike
Mkuu umenena vema. Unajua Luis anacheza na akili ya mastrikers wa Epl. Anawajua vema. Pia Luis anacheza mpira wa akili sana. Nampenda sana Luis.....!!!!Napata ukakasi kidogo akiongelewa vibaya mchezaji ninayempenda (just as a player). Ila David Luiz ana mapungufu na mazuri yake. Kwa kuanza tu niseme - nitampanga David Luiz wakati wowote mbele ya Christensen.
Then tuje kwenye uchambuzi;
1. Experience: He has played these games. Anaijua ligi, anajua experience ya kucheza against strikers wengi. For that he is far ahead of Christensen
David Luiz ame-mature sana over the years. Nadhani umri pia umempa hilo ama kukaa na wachezaji wakongwe (walau kiumri) kumemfanya akue kifikra. Msimu uliopita ni uthibitisho mzuri wa hilo. Ametulia sana kama beki tofauti na ngwe yake ya kwanza alipokuwa nasi.
Zaidi sana ni uwezo wake wa kuona mbele (attack). Kidogo kidogo na ingawa huwezi kulinganisha ubora wake na Fabregas lakini nadhani he is doing a good job at it. Anajitahidi sana kuangalia mbele na sio tu kwa Ngolo au mabeki wa pembeni. Sifa hii Christensen hana na nakubali hana kwa kuwa hana bado uzoefu. Christensen kwa sasa anahangaika kumuaminisha kocha kuwa ni beki mzuri. Amezuia sana juzi na kutoa pass accuracy ya 96% lakini pasi zake asilimia kubwa ni kwa Kante na kwa mabeki wa pembeni na kipa. Sawa hiyo ni basic ya beki, ila ili kumuweka bench Luiz ni lazima uoneshe uwezo zaidi ya huo.
Kwangu mimi na sio kumponda Cahill. Ningempanga Christensen mbele ya Cahill. Lakini pia sio mechi zote. KWa sasa Christensen anahitaji sana kucheza ili kujiongezea kujiamini afanye zaidi ya kuwa beki tu. Ila ningemtoa kafara Cahill kabla ya kumfikiria Luiz.
Again kama nilivyoanza, nampenda Luiz kwa sababu nyingine nyingi nje ya uwanjani hivyo ninaweza kuwa biased. Kwangu mimi akitoka Azpilicueta ningempa Luiz ukapteni mbele ya Hazard!
Binadamu siku zote hawalingani kifikra. Ukiona ivo kausha tuNilifikiri mimeingia kwenye group la mashabiki waastarabu na wenye kuheshimiana, kumbe some of them use very abusive language to the other members.
IPO message ya MTU mmoja anamtukana member mwenzake humu, kama ndiyo tabia hii itaendelea ya kukashifu watu humu, nitajiondoa humu
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Huwa napata starehe sana akimtia mfukono LukakuMkuu umenena vema. Unajua Luis anacheza na akili ya mastrikers wa Epl. Anawajua vema. Pia Luis anacheza mpira wa akili sana. Nampenda sana Luis.....!!!!
Man u hawapendi kusikia hiiHuwa napata starehe sana akimtia mfukono Lukaku