Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnakosea sana mnapo mshusha thamani Luiz, Willian na Cahill .....hizi namba tumetoka nazo mbali sana ...hawa wapya walokuja ni wazuri lakini heshima ya hawa watatu ni lazima wapewe bana.
Sina shida na luizi wala wiliani cahill ndio simwamini
 
3110dc72b7074c2e9b0ee73004b97a59.jpg
 
Mnakosea sana mnapo mshusha thamani Luiz, Willian na Cahill .....hizi namba tumetoka nazo mbali sana ...hawa wapya walokuja ni wazuri lakini heshima ya hawa watatu ni lazima wapewe bana.
hakuna anaemshusha thamani mchezaji tunazungumza uhalisia tunazungumzia madhaifu ya wachezaji wetu na hapo nimemuongelea David Luiz na madhaifu yake ambayo huwa yanatugharimu ila watu wanachukulia poa kwasababu wnanampenda.
 
Huyu moratta nampa mechi 21 tu, baada ya hapo anageuka kuwa garasa
 
Hebu tupe chachandu Mkuu kwa ulicho kiona.
kwanza dogo hakamii wachezaji wa timu pinzani yeye anacheza mpira halafu anarudi katika nafasi yake.Pili,hakai sana na mipira yeye ni mtu wa kuachia moja mara kwa mara anapokuwa na mpira kitu kinachosababisha iwe nadra kwake kufanya makosa.Ananikumbusha enzi za Ricardo Carvalho
 
Luiz ni luizi tu dogo ana safari ndefu kumfikia huyu anatakiwa achukue nafasi ya cahill basi
Huo mpira wa kizamani kusema Luiz ni Luiz tu wakati anatugharimu hivi nyie huwa mkiangalia mpira mnaangalia magoli tu au?hebu fanya kumfatilia uchezaji wake David Luiz utakuja kunambia
 
Chelasea wanacheza mpira wa akili....ukija na miguvu yako unatulizwa.
Ni kwel mkuu, m nakiona hch kitu sana.
Yaan kuna timu huwwa zina amshaamsha sana kama totenham, lesta na stoke ila huwa wanatulizwa kiakil tu na kufungwa vzur
 
Ila mi nazan conte anaujua uzaifu wa wilian ndio mana anamwanzishaga mapema ili ikionekqna anaharbu bas yaingizwe majembe yarekebshe hali..
Yan binafsi namwamin sana Hazard, Zapavcosta wale wakiingia kama sub bas mchezo lazma ubadilike
 
Huyu moratta nampa mechi 21 tu, baada ya hapo anageuka kuwa garasa
Kama Morata atakuwa garasa basi na Conte aliyemuona naye atakuwa garasa. Nafikiri judgement yako ina hitilafu.
Mwanzoni mlimpa ligi ianze hatafunga hata goli. Sasa imeanza mechi sita goli sita bado mnampa mwchi 21. Zikiisha hizo mtampa ngapi
 
Yaan ilo ni tatizo la haters waach kila siku watakuwa wanaongeza siku mpaka watachoka kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom