fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Chelasea wanacheza mpira wa akili....ukija na miguvu yako unatulizwa.Na walianza kwa nguvu nyingi sana tuseme tu chelsea pia wana nguvu na akili
Chelasea wanacheza mpira wa akili....ukija na miguvu yako unatulizwa.Na walianza kwa nguvu nyingi sana tuseme tu chelsea pia wana nguvu na akili
Bakayoko sina khabari![]()
Wale waliokuwa wanamsema morataa wako wapi






Huwa namwelewa sana Cahill ..sijui kwanin huwa humkubali.![]()
Good team
Kazi anayofanya Willian uwanjani ni kubwa sana mkuu ..huwezi ona kwa macho ya kawaida.![]()
Ila huyu jamaa Willian sijui ana waza nn akiwa uwanjani...?
Siku hizi amekuwa mtu wa kupoteza mipira ovyo uwanjani
Kwa kupoteza mipira ovyo namna ile huku akipoozesha mashambulizi ndio kazi yenyewe.Kazi anayofanya Willian uwanjani ni kubwa sana mkuu ..huwezi ona kwa macho ya kawaida.
Nilidhani nilimuona peke yangu. Alicheza kijinga jinga, nilitamani aondolewe mapema!Kweli kabisa huyu jamaa sijui kawaje anapoteza mipira ovyo halafu anakaa sana na mpira mguuni
Siyo kwa mechi ya jana dhidi ya Stoke!Kazi anayofanya Willian uwanjani ni kubwa sana mkuu ..huwezi ona kwa macho ya kawaida.
Mkuu Khalifani AM. Mpira ni nidhamu ukiwa na nidhamu na ukafaulu kujiposition hakika utakuwa mtamu adi watu watakupongeza kila unapocheza.Andreas Christensen bonge moja la Centre half aiseee nadhani David Luiz anapaswa kujifunza kwa huyu kijana.
sasa David Luiz ni moja kati ya mabeki wetu ambao nidhamu ya uchezaji si nzuri.Mkuu Khalifani AM. Mpira ni nidhamu ukiwa na nidhamu na ukafaulu kujiposition hakika utakuwa mtamu adi watu watakupongeza kila unapocheza.
hata kama ni mapenzi kwa mchezaji msimfananishe luiz na vitu vya kijingasasa David Luiz ni moja kati ya mabeki wetu ambao nidhamu ya uchezaji si nzuri.
Kwanza,anacheza kwa kukamia zaidi ama kutaka kumkomoa mpinzani hivyo hutumia nguvu nyingi katika uchezaji wake kitu ambacho humsababishia kadi mara kwa mara.
Pili,David Luiz anapenda sana kukaa na mpira badala ya kuwapasia akina Kante,Bakayoko au Fabregas ili waanzishe mashambulizi.
Wakati mara zote huyu dogo Christensen anapocheza anaonyesha kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu ukiangalia game ya spurs,qarabag,nottingham forest na hata ya jana dhidi ya stoke city utaona hachezi kwa kukamia na anapopokea mpira huwa hachukui muda anawapasia wachezaji wenzie kwa haraka siyo mtu wa kukaa sana na mpira.
Ni kweli ila naamini tulichowafanya msimu uliopita msimu huu itakua mara mbili yake.Mechi na man city itakuwa ngumu sana wazee
Icho kitu cha kijinga ni kama kipi.?hata kama ni mapenzi kwa mchezaji msimfananishe luiz na vitu vya kijinga
Mkuu hata ile nyekundu ya Luiz ilikua haina utofauti sana na hii sema Luiz alikua ameshaanza kuonyesha utovu wa nidhamu mapemaIf chelsea players make this kind of tackles, it would have been a red card..!!!
Is it true or False?
![]()
Sio beki mtulivu anapokabiliana na mshambuliajiHuwa namwelewa sana Cahill ..sijui kwanin huwa humkubali.
Luiz ni luizi tu dogo ana safari ndefu kumfikia huyu anatakiwa achukue nafasi ya cahill basiAndreas Christensen bonge moja la Centre half aiseee nadhani David Luiz anapaswa kujifunza kwa huyu kijana.