eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Morahatrick umemuona.....mkurya org. nakushauri tu acha utabiri wa malafyale utapata maradhi ya moyoKesho stoke city anawakalia mbavu.♂️
♂️
♂️
Ukisikia mwanaume mashine ndo huyu
Kweli kabisa huyu jamaa sijui kawaje anapoteza mipira ovyo halafu anakaa sana na mpira mguuni![]()
Ila huyu jamaa Willian sijui ana waza nn akiwa uwanjani...?
Siku hizi amekuwa mtu wa kupoteza mipira ovyo uwanjani
Huyu wamtie bechi kwanzaKweli kabisa huyu jamaa sijui kawaje anapoteza mipira ovyo halafu anakaa sana na mpira mguuni
Ubovu wa Cahili ni upi? Msimu uliopita kaibeba timu kwa kiasi kikubwa na msimu amecheza mechi moja kamili nyingine akicheza kwa muda mfupi.Kwa sasa naweza kusema ukitoa cahill mabeki wote nawaamini
Leo aspiliqueta, christiensen, rudiger
Hapa nimeona namna conte anavyoumiza kichwa
We jamaa sijui una hali gani huko ulikoKesho stoke city anawakalia mbavu.♂️
♂️
♂️
Aisee kumbe na we ni mfuasi linamoUkisikia mwanaume mashine ndo huyu
Cha muhimu tumeshinda leo hakuwa na mchezo mzuriKweli kabisa huyu jamaa sijui kawaje anapoteza mipira ovyo halafu anakaa sana na mpira mguuni
Huyu jamaa ni beki mzuri sana tatizo lake ni moja tu papara pale nyuma hasa team ikiwa inashambuliwa upande wake anafungwa magoli ya hovyo sanaUbovu wa Cahili ni upi? Msimu uliopita kaibeba timu kwa kiasi kikubwa na msimu amecheza mechi moja kamili nyingine akicheza kwa muda mfupi.
Yani mimi Ni The Blues original.Aisee kumbe na we ni mfuasi linamo
Karibu jukwaani
Wasalimie sana makapuku wenzangu
alaf zote kwa morata![]()
Assist 4 tangu ligi imeanza kwa aspiliqueta

Hawa vijana wawili ni shidaKwa sasa naweza kusema ukitoa cahill mabeki wote nawaamini
Leo aspiliqueta, christiensen, rudiger
Hapa nimeona namna conte anavyoumiza kichwa
Ana papara kama Trump vileHuyu jamaa ni beki mzuri sana tatizo lake ni moja tu papara pale nyuma hasa team ikiwa inashambuliwa upande wake anafungwa magoli ya hovyo sana