cha kushangaza assister ni azplicuetaFirst hat trick of the season for morataaaaaaaa
Morataaaa!! Hahahaaahaaa!!!?Unafikiri chelsea ni man u mkurya

say MORATA DAY .....we deserve to win ...Chelsea champion hahaha. ....wale wa upande wa pili walishikwa shati na uyu uyu Stocke. ....leo sijui imekuwajee 

say MORATA DAY .....we deserve to win ...Chelsea champion hahaha. ....wale wa upande wa pili walishikwa shati na uyu uyu Stocke. ....leo sijui imekuwajee
![]()
Na walianza kwa nguvu nyingi sana tuseme tu chelsea pia wana nguvu na akiliChelsea has made my day, nimefurahishwa na morata kuperform vizuri ikizingatiwa kuwa stoke wana mpira wa 'miguvu' mingi.
Pamoja na ivyo tulikua ugenini.. So inapendeza kushinda halafu kwa magoli manne. Huku striker wako akipiga hat-trickChelsea has made my day, nimefurahishwa na morata kuperform vizuri ikizingatiwa kuwa stoke wana mpira wa 'miguvu' mingi.