Hiv naomba niulize, huyo Alvaro ni politician au ni footballer??? Mi hata sielew, maana naona ana mineno mingi, mara I've two goals frm my head. Cjui nn na nn!!! Hamuon mwenzake lukaku vitendo vinavyozungumza?! Ndiyo maana zizou lilimtema. Ss hiv ni ngumu sana kumtofautisha morata na faiza ally ex wa sugu
Morata aliongea about aina ya magoli kwa sababu aliulizwa na waandishi, na walimuuliza baada ya hazard kutania kuwa ni muda wa morata kuanza kufunga magoli kwa miguu
Lukaku nae anaongea sasa sijui ka ni ushamba wako au unafuatilia press za timu moja, kwa mfano juzi lukaku kaongea kuhusu the way alivyoshangilia goli lake dhidi ya everton
Huyo zidane unayemsema kwenye interview jumanne amesema anatamani morata asingeondoka, hana attacking options now, kasema hana cha kufanya but anawish Morata was there. washabiki wa Madrid kwenye mitandao wanalalamika kuuzwa kwa Morata, usisahau kuwa kakulia kwenye academy yao
Nimekujibu tuh but actually comment yako imekaa kisenge senge, ka wewe ni choko kaa mbali humu hatulagi vipusa

♂️
Conte on injuries: "All players are available for tomorrow apart from Danny Drinkwater. He's continuing to work on his recovery."