Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Morata yuko vizuri sema hajachangamka kabisa!!! Labda hazard atamchangamsha, tatizo la kocha wetu ni mazoea aliyonayo, hayuko flexible kama guardiora

Lakini gap bado dogo mno!!
 
Luiz red kadi yake atakosa mechi ngapi , ? Nimechukia sana na kocha kwa kitendo chake cha kuto mwanzisha Harzad , bakayoko na zapacosta. Ilitakiwa mmojawapo aanze
Mi nilianza kumlaumu hata kabla match haijaanza nafikiri ni wakati wa Moses kukaa benchi sasa amwachie namba zapacosta
Kwa sasa zapa ni bora kuliko Moses kwa sasa
 
CARABAO CUP THIRD ROUND

Chelsea Vs Nottingham Forest

Chelsea XI; Caballero, Rudiger, Christensen, Cahill, Zappacosta, Bakayoko, Fabregas, Kenedy, Musonda, Batshuayi, Hazard

93b340b401ea196abbdbb562b16f8c19.jpg

Chelsea Substitutes; Eduardo, Clarke-Salter, Sterling, Ampadu, Willian, Morata
 
Kenedy ; pure talent, tatizo utoto mwingi ila ni hazina kubwa sana kwa timu. Akitulia, akaaminika na kuacha utoto atakua kama marcelo
 
Hiv naomba niulize, huyo Alvaro ni politician au ni footballer??? Mi hata sielew, maana naona ana mineno mingi, mara I've two goals frm my head. Cjui nn na nn!!! Hamuon mwenzake lukaku vitendo vinavyozungumza?! Ndiyo maana zizou lilimtema. Ss hiv ni ngumu sana kumtofautisha morata na faiza ally ex wa sugu
 
We nawe unawashwa washwa
 
Ukiangalia magoli aliyofunga michi jana unagundua si mtu awezae kupambana katika match kubwa na kufunga magoli kwa kulazimisha
Mpka atafuniwe ndio afunge
Hazard jana alimbeba sana na assist zake zile
Lingine alikuwa na uwezo wa kufunga mwenyewe lakini akampa bwerereee
 
Rasmi tuna two strikers mpaka January
Natumaini uwezo wa batshuayi unaonekana sio wa kumtegemea sana
Hapa Morata ilo jukumu la kuibeba timu anatakiwa atekeleze vzr kbsa
 
wengi wenu humu ni mashabiki bendera tu yaani mnafata upepo Chelsea ilivyompiga Qarabag kila mtu anaisifia timu na kocha.Chelsea ilivyosuluhu na Arsenal wengine wakaanza Conte Out wengine wanaanza kuponda wachezaji.Mara hii mshasahau kwamba Cahill huyu huyu kaiongoza timu miezi kadhaa iliyopita kutwaa ubingwa leo kawa hafai? Ukifika Stamford Bridge pale kabla ya mechi kuanza katika nyimbo ya Chelsea ile kuna kipande mashabiki wanasema"Cheer us on through the sun and rain cause CHELSEA CHELSEA is our name" wakimaanisha tushangilie wakati wa jua na mvua.
 
hoja yako ulitaka kusema nini sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom