Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

yan nlivyo muona cahil ata stm ya kuangalia game nmekosa na kikos n kilekile klchopoteza ngao ya jamii yan rudiger nje alaf kante mkabaji mwenyewe
 
Nadhani sub atakazofanya leo Conte ni kuingia kwa Hazard, Bakayoko na Zappacosta

Shida ya mfumo wa 3-4-3 ni kuwa wote wanapashwa kucheza kwa kujituma, leo weaklink ni Willian, yaani jamaa ndio anaua timu kabisa

Sub ya William ndiyo iwe ya kwanza
 
Kwa uchezeshaji huu wa Marefa, na jinsi wanavyoikamia Chelsea sijui kama Chelsea itachukua Kombe msimu huu
 
Daah!! Yan kudraw na arsenal sijui kwanin kaamua kuwaacha Rudiger na Zappacosta njee ....
Pambaaaaaf kabsaaaa,
 
Hivi Conte mpaka leo bado hajapata first eleven ya uhakika. Naona tuna buma buma tu.

Halafu Luiz kajitafutia kadi mwenyewe huwezi cheza kizembe vile halafu bado unalalamika
 
Bellerin na Kolasinac wamefanya kazi kubwa sana, instead of Pedro, Conte angemtoa Willian ambaye leo hakuwa vizuri na Hazard angeingia mapema ,huyu Bakayoko kuna namba ya mtu anaitafuta pale... all in all 2 points lost but FAIR result
 
Conte OUT
Anashindwa mfunga Arsenal ambaye kafungwa na Liverpool?
He has to go!!
Kuna watu hapa na kule hawajui lolote kuhusu soka!
Matter of fact watani hongereni sana,point moja EPL sio mbaya hata kidogo
 
Bellerin na Kolasinac wamefanya kazi kubwa sana, instead of Pedro, Conte angemtoa Willian ambaye leo hakuwa vizuri na Hazard angeingia mapema ,huyu Bakayoko kuna namba ya mtu anaitafuta pale... all in all 2 points lost but FAIR result

CONTE OUT?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom