Mugerick
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 499
- 531
Mkuu mim kila siku namwambia ila ni mgumu kusikia. Amebaki na utabiri uchwara tuHakuna mshabiki wa soka wa humu JF ninayemuonea huruma kama huyu jamaa Malafyale , kaka pumzika haya mambo ya soka, timu yako soon itakupa ugonjwa wa moyo, ulivyocheza na Arsenal ukajitapa kuwa sasa mmekamilika na mpo tayari kwa mashindano, lakini ile Jumamosi ya kuchapwa Tano ni balaa kubwa
Anyway naona mna league yenu na Arsenal pambaneni tu
Wanaonyeshe mkuu sema game yetu ipo SS2
Wanarusha chanel 202..
Batman leo katishaaa. .UEFA CHAMPIONS LEAGUE. 12/09/2017
Chelsea FC 5 - 0 Qarabag
Pedro 5'
Zappacosta 30'
Azpilicueta 55'
Bakayoko 71'
Batchuayi 76'