Kama tunataka kushinda match ya leo ni lazima conte amweke nje cahill la sivyo tusitafute ubaya baadaeNdio nakwambia hiyo ni shida, hivi unafahamu maana kabisa ya captain wa timu?, iweje captain wa timu akae benchi, ucaptain wake unafaida gani?, kwenye soka ukaptain ni kitu kikubwa sana sio kitu cha mchezomchezo
Hongereni Man U, lakini kwa Chelsea, Cahill hawezi kuwekwa benchi
Kama tunataka kushinda match ya leo ni lazima conte amweke nje cahill la sivyo tusitafute ubaya baadae
Trust me, cahil anawekwa bench leo!!!!! Kama humjui conte ndo leo utamjua!!! Jiulize kwanini JT Aliwekwa bench hata match za kawaida!!Kama hana tatizo hawezi kuwa benchi, lazima tukubaliane na hali yetu, yaani kazi tunayo maana neki iliyopo sasa (Luiz, Azip na Rud) imeshatengeneza bond nzuri sana, yeye atakuwa kama mgeni na pia beki itakuwa na kazi ya ziada ya kurekebisha makosa yake
Ki ukweli Cahill kwa sasa hastahili kuwepo kwenye hicho kikosi, sema ndio huo Uingereza na Ucaptain unaombeba
Trust me, cahil anawekwa bench leo!!!!! Kama humjui conte ndo leo utamjua!!! Jiulize kwanini JT Aliwekwa bench hata match za kawaida!!
Kuwa mpole mkuu, muamini ConteKabla sijaona lineup huwa sina amani kabisa,
Kuwa mpole mkuu, muamini Conte
Halafu kikosi hichi ndo kilichopotea mechi ya ngao dizani Arsenal washatuzoea tayari![]()
Wakati mwingine conte simwelewi kabisa hapo kwa cahili hapo anatesti kama vile alivyokuwa akicheza na qarabag
Sijui ngoja nione amewaza nini kurudi na kikosi hiki