OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Wajinga kule washalizwa tatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Leicester nadhani ni sawa..Fabregas anakuwa huru.Conte bana sijui amefikiria nini kutumia huu mfumo wa 3-5-2
mkuu naomba unitumie link unayotumia kuangalia mpira, kila link ninayofungua inazingua.Mnaoangalia mechi Morata ameshaanza kutumia miguu au bado??? maana naskia kelele tu huko mtaani Morata morata. KTBFFH
Sent using Jamii Forums mobile app
magoli haya yote yamenipita...mkuu naomba unitumie link unayotumia kuangalia mpira, kila link ninayofungua inazingua.Leicester 0
Chelsea 2![]()
Tumia totalsportek.commkuu naomba unitumie link unayotumia kuangalia mpira, kila link ninayofungua inazingua.
kipindi cha pili nakiangaliaje wakati sina link? mkuu naomba unitumie link unayotumia kuangalia mpira, kila link ninayofungua inazingua.Tunatakiwa tutulie kwanza ili pilau tulipige kwa Furaha, tunguje kipindi cha pili
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja sana mkuu. nimefanikiwa...ila imeniuma magaoli yote mawili sikuyaona.