Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,577
- 5,265
Ingia YouTube kisha search "live Leicester city vs Chelsea" utakutana live streaming kibao utachagua yoyote uipendao. Ukiona buffering nyingi unapunguza quality ya video. Uta enjoy gameSamahani wakuu naomba mtu mwenye link inayofanya kazi anisaidie niangalie mpira online, nimetumia hii hapa inazingua kinoma...haifanyi kazi:
goATDee.Net - Watch Free Live Sports TV
Sent using Jamii Forums mobile app