Mimi sikufurahishwa na usajiri wa msimu huu, nailaumu sana board ya Chelsea kwa kushindwa kusajiri wachezaji kama Alex Sandro wa juve na lukaku wa Everton
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nailaumu kwa kushindwa kumsajili Alex Sandro na Van Dijk, Lukaku wa nini mkuu?
Lukaku anafunga lakini control hana mpira wake wa kuforce tu, kwani so Far kati ya Morata na Lukaku nani we umemuona straika mkali kwa hizi game chache? Kwanini unaregret kumkosa lukaku?
Straika mkali zaidi kwa Ligi kuu Uingereza ni Harry Kane. Kama tungetaka kununua straika alie na uzoefu wa EPL ningemprefer Kane nina sababu zaidi ya 5 za kumprefer yeye, Lukaku bora tulimkosa
