Napenda chelsea ikishinda,ila napenda zaidi kuwasikia WACHAMBUZI wakisema kuwa Huddersfield fc watachukua Epl kwa kuwa wameshinda vimechi vya utangulizi
saizi wachambuzi wengi wanazipigia chapuo team za manchester, wakati ukiangalia kuja kufikia december hadi february team za manchester pumzi hukata.
hapo ndipo wenyewe wanajirudi na kuyakataa maneno yao.
Hii CHELSEA ya saizi kaa nayo mbali. Jana nilikuwa namsikiliza hazard akifanyiwa interview kasema major goals/objectives ni kubeba kila makombe tunayo compete coz tuna depth ya kikosi.
