Mugerick
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 499
- 531
Ni kwel mkuu sabab kwa Thorgan Hazard ilishindikana basi tunajaribu na kwa Kylian Hazard kama ataweza kusustain na kukidh vigezo....,,,Kylian hajasajiliwa Chelsea kwa sababu ya uwezo alio nao, kasajiliwa kwa sababu Eden kamuombea kwa kocha na Chelsea tunafight kumkeep Eden.
Eden is a family man, kumleta mdogo wake London means so much to him, we have a delived demand kwa kylian, lengo ni kumkeep Eden
Sent using Jamii Forums mobile app
Premier League