Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nafikiri drinkwater anatakiwa acheze namba ya fabrigas fabi yeye ataingia kipindi cha pili kumpokea aliechoka kati ya bakayoko,kante,na drinkwater.
Kante na bakayoko wacheze kama viungo wakabaji

Moses aendelee ila akiboronga tu zappacosta anachukua

Kule mbele hazard wilian morata
Costa ataingia kipindi cha pili kumpokea morata

Pedro atampokea wilian na hazard atapokewa na mdogo wake kylian hazard

Nimeangalia eneo la kukaba na ushambuliaji pamoja na pembeni

Naona unawaelewa sana The Hazards sana Kimario but Kylian is not ready to play, kawekwa kwenye development team yetu, kuna kina Musonda ndo immediate option na ndo watakua wanaingia sub.

Actually Kylian hayupo hata kwenye 25 players squad iliyopelekwa FA kwa ajili ya ligi kuu
 
Siyo mbaya labda kuanzia msimu ujao anaweza akawa kwenye timu kubwa. Anawekwa apate experience kidogo
 
Ina maana ulikuwa huamini kama una mchezaji?
Aliposajiliwa niliweka akiba ya maneno mkuu. Nilivutiwa na Andrea Boletti ambaye alikuwa kwenye rada ya Chelsea

Lakini nimejidhihirisha akiwa kwenye National team anajua, licha ya kuwekwa bechi kule Madrid
 
Naona unawaelewa sana The Hazards sana Kimario but Kylian is not ready to play, kawekwa kwenye development team yetu, kuna kina Musonda ndo immediate option na ndo watakua wanaingia sub.

Actually Kylian hayupo hata kwenye 25 players squad iliyopelekwa FA kwa ajili ya ligi kuu
 
3f0fd4a075a1075341568e70a4380dc8.jpg
5391452d4e577f527bb59a313088fcb7.jpg

Kila nikisoma haya majina ya hiki kikosi sasa naona tupo tayari kwa michuano yote
 
Naona unawaelewa sana The Hazards sana Kimario but Kylian is not ready to play, kawekwa kwenye development team yetu, kuna kina Musonda ndo immediate option na ndo watakua wanaingia sub.

Actually Kylian hayupo hata kwenye 25 players squad iliyopelekwa FA kwa ajili ya ligi kuu
Kylian yupo kwenye uangaliz soon atapanda january anaweza kupand kwa promo za kaka ake amabe ndo sabab ya kuja kwake chelsea......

Embu kamckilze kaka ake kidogoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo mbaya labda kuanzia msimu ujao anaweza akawa kwenye timu kubwa. Anawekwa apate experience kidogo
Ataishiwa kwenda kucheza kwa mkopo Germany au Holland.Kaka yake Thogard Hazard naye alisajiliwa baadae akauzwa kabisa
 
Kylian yupo kwenye uangaliz soon atapanda january anaweza kupand kwa promo za kaka ake amabe ndo sabab ya kuja kwake chelsea......

Embu kamckilze kaka ake kidogoo...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka ake nillimsikiliza week iliyopita anasema wazi he is not good enough to play for chelsea and maybe he never will, dogo ana 22, kwenye nafasi yake tuna vijana kama watano wako loan all over europe.
Kama unafuatilia our youth development kwa haraka haraka Loftus cheek, lewis baker na van ginkel wana uwezo mkubwa kwenye attacking midfield kuliko huyu Kylian
 
Alafu kylian ni kipaji ila hao wamelelewa chesea toka wakiwa miaka 12... Kylian namfanansha na akina Denim Nnamudi, ila Denim amewahiwa tuu....,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kylian hajasajiliwa Chelsea kwa sababu ya uwezo alio nao, kasajiliwa kwa sababu Eden kamuombea kwa kocha na Chelsea tunafight kumkeep Eden.
Eden is a family man, kumleta mdogo wake London means so much to him, we have a delived demand kwa kylian, lengo ni kumkeep Eden
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom