Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We have today signed Kylian Hazard (younger brother of Eden Hazard), who joins up with our development squad.

ab2b874bb61322b7d8d969722738654b.jpg
Huyu dogo anacheza namba ngapi,performance yake huko alikotoka ipoje,na anaungana na kikosi cha kwanza au ndo km alivyokuwa thogan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiungo wa leicester dany drinkwater amepeleka maombi ya kuuzwa chelsea kabla dirisha la usajili kufungwa
 
Anataka ahakikishiwe atacheza namba 9 kwani anaamini Chelsea fc wanataka kumchukua acheze nafasi ya winga. Hivyo kutokana na hitaji la central role kwa Chelsea anaona nafasi ni finyu kuipata, then decided against offer

Sent using Jamii Forums mobile app
Source: bbc sports news/football

Sio kucheza namba tisa bali anataka kucheza namba 6, 10 au 8 (kiungo wa Kati), sasa kila akiangalia hapo Chelsea hizo namba kuna Kante, Bakayoko, Fab, Willian, Hazard, Pedro so anajiona yeye position yake ni wingback ambayo haitaki
 
Huyu dogo anacheza namba ngapi,performance yake huko alikotoka ipoje,na anaungana na kikosi cha kwanza au ndo km alivyokuwa thogan

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni zawadi ya hazard ili abaki.... Sabab kwa Thorgan Harzad ilishindikana sababu oscar alkua anamfunika na namb alkua anacheza ilkua ina watu wengii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji ya Kunywa yatue Darajani kwa baraka zote:


Danny Drinkwater hands in Leicester transfer request and wants Chelsea move


Leicester-City-v-Stoke-City-Premier-League
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom