Msg sent to babu Wenger
Huyu kocha ana mapoint sana binafsi nimemuunga mkono alichosemaMsg sent to babu Wenger
Hahahahaaa!! Hongera sana Scout wa Liverpool umefanya kazi nzuri,Tupeni tu kombe letu
OX hataki kucheza Chelsea anaitaka Liverpool!
Pia leo tunakamtambulisha Van Djiik maana tumemchukua tayariView attachment 576965 View attachment 576966
Mkuu huyo Oxlade.. Napo naweka akiba ya manenoNaomba namba za simu za Ox mkuu mpaka unajua hataki Chelsea wewe ni mtu wa karibu yake sana..
Nitarudi tena hapa baadae kwa issue ya Van Dijk
Striker is impotantChelsea wanajaza maviungu tu wakati straika butu, wananikera kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Haupo serious mkuuChelsea wanajaza maviungu tu wakati straika butu, wananikera kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpambanaji wapi mkuu galasa lile,we subiri atue darajan utaelewA nachokisema. Mchezaji gani mimbio tu na mpira hadi nje y uwanja ..........hana tofauti na walcot, halaf nashangaaga wanaowasifiga hawa wachezaji.Mkuu OX hujamtazama vizuri. Timu yetu inahitaji mtu kama huyu. Ana kasi na ni mpambanaji.
Anataka ahakikishiwe atacheza namba 9 kwani anaamini Chelsea fc wanataka kumchukua acheze nafasi ya winga. Hivyo kutokana na hitaji la central role kwa Chelsea anaona nafasi ni finyu kuipata, then decided against offer![]()
Mwenyewe anadai anataka kwenda liver ikishindikana anabaki arsenal
Hataki kwenda kucheza wing back chelsea anataka kwenda liva akacheze kiungo wa kati![]()
Mwenyewe anadai anataka kwenda liver ikishindikana anabaki arsenal
Kwa oxlade ni mshambuliaji au ni wingaAnataka ahakikishiwe atacheza namba 9 kwani anaamini Chelsea fc wanataka kumchukua acheze nafasi ya winga. Hivyo kutokana na hitaji la central role kwa Chelsea anaona nafasi ni finyu kuipata, then decided against offer
Sent using Jamii Forums mobile app
Source: bbc sports news/football