ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
We jamaa huwa unafurahisha sanaa, mwaka jana ulikua na kamsemo haka haka mwisho w siku ukahamia spars, tulivyochukua ubingwa sijui hata ulitokea mlango gani!! mpaka leo ndio nakuona .........nyie ubingwa wenu ni kuzifunga timu kubwa tu basiiiii.MAJOGOO yanachukua ubingwa wao mwezi wa March