Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

439B9A8E00000578-4827448-image-a-15_1503838413016.jpg


Kama kawaida kocha alikuwa bize akitoa maelekezo...kasema yeye ni kocha sio meneja!
 
439B9A9200000578-4827448-image-a-21_1503838522605.jpg


Sasa huku Willlian kule Hazard..sijui watamkaba nani wamuache nani!!!

439BBF9100000578-4827448-image-a-44_1503839927571.jpg


Wakikaa vibaya, Morata, dah nawaonea huruma wanaofuata baada ya Hazard kupona!



439BBF7100000578-4827448-image-a-39_1503839869543.jpg


439BC49D00000578-4827448-image-a-47_1503840722443.jpg



Game ambayo tunaweza control tempo unamuweka Fabregas pembeni ka Kante...
 
Bado hamyaogopi MAJOGOO?
Jana Lallana na Coutihno hawakuwepo
Anakuja Van Djiik na OX week hii
Wewe nakupiga home and away
MAJOGOO yanachukua ubingwa wao mwezi wa March
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaida nilijua utakuja tu.
Ox na Van Dijk wanakuja, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera sana
 
Congratulations to Morata on reaching his 42nd league goal in 8 seasons

Slippy Gerald, you served football.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom