SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,796
- 1,308
Tehetehetehelukaku wenu alikuwa anapigwa benchi na wazee akina drogba, torres, anelka.
Umemuona Batshuayi peke ake pale?Tuwashikie nafasi na batshuai wenu mtafika lini..,,???
DECEMBER sio mbali muanze kubeba mabango yenu ya ''wenger out''.
enough is enough wenger out. wakati sisi tumewasha motto uitwao ''blaze inferno''
No zilikuwa very soft foul/attack, kwa mwamuzi anayetumia akili vizuri Wala isingekuwa hivyo, Ila kwakuwa alishadhamiria toka mapema no way!Mkuu tuache unazi. Kadi zote nyekundu ni halali kabisa.
No zilikuwa very soft attack, kwa mwamuzi anayetumia akili vizuri Wala isingekuwa hivyo, Ila kwakuwa alishadhamiria toka mapema no way!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Then what!!Cahil ilikuwa ni straight red card na sheria inasema hivyo. Kama refa asingetoa ingekuwa ni bahati yake tu lakini alistahili.
Fabregas kadi ya njano ya kwanza ilikuwa ni halali kabisa, huwezi kumsanifu refa vile ukabaki salama, ulikuwa ni upuuzi wa kiwango cha juu. Referee keshaamua ni faulo sasa nini kumdhihaki??
Yellow card ya pili sidhani kama kuna haja ya kuongelea maana ile tackle haikuwa tofauti sana na aliyoifanya Cahil.
So hakukuwa na soft card pale, zote zilikuwa deserved kabisa.
Marcus Rojo msimu uliopita alifanya tackle kama hiyo ila ilikuwa bahati yake tu hakupewa red, he was just lucky, but he deserved straight red card.
Then what!!
sent from my jamii forums app iphone 7+
Sasa kama ni hvyo huyo refa (Craig Pawson), akipewa match kubwa za wahun wa mpira c atatoa kadi nyekundu nusu ya wachezaj wotee.....Cahil ilikuwa ni straight red card na sheria inasema hivyo. Kama refa asingetoa ingekuwa ni bahati yake tu lakini alistahili.
Fabregas kadi ya njano ya kwanza ilikuwa ni halali kabisa, huwezi kumsanifu refa vile ukabaki salama, ulikuwa ni upuuzi wa kiwango cha juu. Referee keshaamua ni faulo sasa nini kumdhihaki??
Yellow card ya pili sidhani kama kuna haja ya kuongelea maana ile tackle haikuwa tofauti sana na aliyoifanya Cahil.
So hakukuwa na soft card pale, zote zilikuwa deserved kabisa.
Marcus Rojo msimu uliopita alifanya tackle kama hiyo ila ilikuwa bahati yake tu hakupewa red, he was just lucky, but he deserved straight red card.
Mara ya mwisho Chelsea kucheza 9 uwanjani ilikuwa Vs Manchester UTD red card ya Fernando Torress na Braslavic Ivanovic, game ikiisha kwa Chelsea kufungwa 3 Vs 2, chicharito akifunga goli la 3 huku akiwa offside, REFAREE alikuwa MARK CLATTERNBURG sitaisahau hiyo mechi!Cahil ilikuwa ni straight red card na sheria inasema hivyo. Kama refa asingetoa ingekuwa ni bahati yake tu lakini alistahili.
Fabregas kadi ya njano ya kwanza ilikuwa ni halali kabisa, huwezi kumsanifu refa vile ukabaki salama, ulikuwa ni upuuzi wa kiwango cha juu. Referee keshaamua ni faulo sasa nini kumdhihaki??
Yellow card ya pili sidhani kama kuna haja ya kuongelea maana ile tackle haikuwa tofauti sana na aliyoifanya Cahil.
So hakukuwa na soft card pale, zote zilikuwa deserved kabisa.
Marcus Rojo msimu uliopita alifanya tackle kama hiyo ila ilikuwa bahati yake tu hakupewa red, he was just lucky, but he deserved straight red card.
Sasa kama ni hvyo huyo refa (Craig Pawson), akipewa match kubwa za wahun wa mpira c atatoa kadi nyekundu nusu ya wachezaj wotee.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sintokaa niisahau aiseeMara ya mwisho Chelsea kucheza 9 uwanjani ilikuwa Vs Manchester UTD red card ya Fernando Torress na Braslavic Ivanovic, game ikiisha kwa Chelsea kufungwa 3 Vs 2, chicharito akifunga goli la 3 huku akiwa offside, REFAREE alikuwa MARK CLATTERNBURG sitaisahau hiyo mechi!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Duh kweli ukipenda uoniKuna watu hawaamini kuwa chelsea itatwaa ubingwa kwa mara nyingine kisa kufungwa match ya kwanza
Tukutane december

Huyu dogo nami huwa namwelewa sana ........MATEO KOVASIC ni bonge moja la kiungo, hivi conte hamuoni huyu mtu hadi awatake akina drink water???????
scouting yetu na board ipo kizembe sana round hii.
huyu kovasic namuona ndo ange solve tatizo la defensive midifield.
Hutaki unaacha.