Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,015
- 947
Willian , fab mbona ni washika makoti nje pale Chelsea toka msimu uliopita akuna chakumuumiza kichwa conte usitake kuipamba sana team yenu..Wachezaji gani ambao wame-underperform? Chelsea imekamilika upande wa mabeki kuliko timu yoyote ya EPL. Tunahitaji tu mtu wa kushika namba ya Bakayoko ambaye bado hajawa fiti kwa ajili ya mechi. Na wing back zinahitaji mtu mmoja wa kuleta ushindani au akisajiliwa beki(say van Dijk) basi Luiz anaweza kucheza kama defensive midfielder au Azpilicueta akacheza kama Wing Back. Mbele pale Morata anatosha sana. Na Hazard na Pedro wakirudi basi ndo sipati picha hii timu itakuwaje. Shida itabaki kwa kocha maana atachanganyikiwa kupanga kikosi chache. Maana sasa nani atakaa benchi? Willian? Fabregas? au nani? Hapo kumbuka vijana Boga, Musonda, na Christen bado wako benchi pamoja na Batshuay.
Kijana kitambue vizuri kikosi cha Chelsea ndo uje kukizungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbn FA wameblock some videos zenye review ya game ya chelsea na burnley....,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji acha vurugu[emoji85][emoji85]Keleuwiiiiiii, inamaaana nyie kila siku parapanda inalia kwenu...
Poor the buluzzzzzzz.
Sent using Jamii Forums mobile app
All in all Morata ni mchezaji mzuri sana. Jamaa kaleta sana uhai kule mbele. Sincerely hongereni Chelsea kwa kulamba jembe.
Najuuliza anacheza nani wakati Fabregas ana nyekundu na hatuna kiungo mwingine
Eti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???[emoji3][emoji3]
Ntajisikia vibaya sana kuipokea pole yako maana bado game 37 mpka hapa na bado tunamatumaini ya ushindi wa kuchukua ligi kwa mara nyingine
Yu wapi Ntuzu, nando
Tunajua wanatufanyia mipango tusichukue.mwaka huu.refa ametupoteza mapema,hata hivyo chelsea timu tunayo,Hahahahahahaaaa acheni kulia lia nyie.
Inauma sana,
Nimeumia kweli,
Poleni wazeiyaaaa, kiroho mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni sawa na kuwa na mwanamke mzuri halafu hazaiNipo hapa mkuu, umemuona morata??????????
kuna mwenye tatizo na uwezo wa morata huko??????
hizo ni salamu tu kwa haters.
huyu shafi dauda anashabikia manU maana huwa anaipamba wakati team yenyewe mbovu.
time is agood teacher.
[emoji3][emoji3][emoji3]ila poleni sana wakuuUnaona raha kesho tutakuona