Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Laana ya mnachomfanyia Costa haita waacha salama

Hela zote mlizokuwa nazo inakuwaje msiwe na timu ya ushindani?

Laana ya Costa kivipi?, yaani timu haina uwezo wa kumwacha kchezaji yoyote kwa kuogopa laana?, Mwalimu kasema hawezi kufanya kazi na Costa kwa vigezo vyake kama Mwalimu, wewe uku huku Tanzania unazungumzia mambo ya laana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom