eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Ulifurahi eeh,unatukana mamba kabla hujavuka mto ona yaliyokukuta kwa madrid ulidhani pre season ile eti?Wamesha REST IN PEACE tufunge tuu turbai tuweke msiba..
Tuwafariji maana wanaweza jinyonga hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Happy birthday to willian 29
Utakuwa na kichaa wewe, hakuna team duniani isiyotaka Huduma ya diego Costa... Ac Milan na wachina wao waliweka hela mezani Diego akachomoa. Costa mwenyewe ameshaweka bayana team pekee anayoitaka ni Atletico Madrid na si team nyingine yoyote .
Hivi kwa uelewa wako kuna team inaweza kumkataa Mchezaji Mwenye hizo statistics kwenye picha niliyoambatanisha ????
Ana misimu mitatu Chelsea , amekusaidia kubeba Ndoo mbili za EPL huku yeye ndio akiwa top scorer wako kipindi chote hicho Leo unasema ni mchezaji mbovu.
Kapimwe akili Ndugu yangu.... Huyo Morata kubali kataa hataweza kufikia hata robo ya Diego Costa.
Sent From My Nokia Ya Tochi
Bado najiuliza nani anatoa ruhusa mchezaji kuuzwa kama conte anasema hakushirikishwa
Mkuu me nadhani ni bodi ndo inayosimamia kila kitu ..KWAHIYO antonio nahisi hahusiki kuuzwa kwa matic kabisa.Bado najiuliza nani anatoa ruhusa mchezaji kuuzwa kama conte anasema hakushirikishwa
Mkuu me nadhani ni bodi ndo inayosimamia kila kitu ..KWAHIYO antonio nahisi hahusiki kuuzwa kwa matic kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app