OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Itakuwa 3-1 kwa upande wangu. Morata apo lazma.My prediction
Chelsea 2
Burnley 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa 3-1 kwa upande wangu. Morata apo lazma.My prediction
Chelsea 2
Burnley 0
Mkuu kusajili ni muhimu sana hata tukishindwa dirisha hili itabidi dirisha la january tufanye usajiliTentatively kikosi kitakuwa;
Courtouis, Rudiger, Luiz, Cahill, Azpilicueta, N. Kante, Fabregas, M. Alonso, Willian, Morata, Batshuayi.
Wale madogo ndo substitute zetu...inaonesha jinsi kikosi kilivyo kidogo aisee.
Ila ushindi kwa kwsho upo hawa wajitahidi tu kushikilia ushindi kwa August, September Hazard akirudi itaonge,a nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani naangalia bench letu aisee hakuna kitu kabisa yaani![]()
Kikosi chetu leo
Kabisa benchi jeupe kabisaYaani naangalia bench letu aisee hakuna kitu kabisa yaani
Kabisa benchi jeupe kabisa
Pedro
Bakayoko
Hazard
Wote hawapo
Inabidi afanye usajili wa wachezaji wazoefu watatu kabla dirisha halijafungwa
Beki na mshambuliaji ni muhimu
Hatima ya hii match siielewi kabisaChelsea wanacheza pungufu baada ya Cahil kupewa kadi nyekundu dakika ya 13
Leo kwa kweli naona mmmh!Hatima ya hii match siielewi kabisa