Haya sasa nipe matokeo ya leo




Mkuu mbona umepotea sana vip matokeo ya huko kwenuKenedy kinda wa chelsea arudishwa london baada ya Wachina kuchukia kutokana na Post zake kwenye mtandao wa kijamii
Club ililazimika kuomba radhi na kenedy pia aliomba radhi lakini club imeamua kumrudisha nyumbani kama adhabu kwa tukio hilo
Yasemekana picha alizoziweka ziliwachukiza mashabiki wa chelsea china hata kuizomea wakati wa Match dhidi ya arsenal
.???Mkuu upo online afu huleti matokeo vip tena ..??The life of Wanted Men's !!. Wawili ama watatu kati ya hawa wanahitajika darajani kwa gharama yoyote ile!!
![]()
Virgil van Dijk, Alex Sandro, Fernando Llorente, Antonio Candreva

Mkuu huoni au unajifanya huoni?Naona mmepoteana humu ndani hata wenzangu kutoa update hamna kweli mnazingua sana bhana sio hivyo asee![]()
Bado nini?3 bila na bado
timu imezidiwa sana tunapigwa tatu harakaharaka hivyoGame bado ila kutowepo kwa Luiz kipindi cha kwanza ni tatizo!