Hatuwezi kuchukua wote mmoja wao anaitajikaBila mastrike wa maana tutakuwa tunajisumbua tu na hawa viungo leta pierre na morata epl unachukua kabla ya mechi 10 kuisha ukichukulia timu nyingi za epl ni medium teams
Dah! Hivi huyu jamaa bado yuko? Ndio maana nimeshangaa kuona ni mmoja wa wafungaji ina maana alikuwa kwa mkopo?LOIC REMY NEWS
Loic Remy will leave Chelsea this summer with Marseille, Southampton and Everton interested in signing the French forward.
Remy scored twice yesterday as Chelsea beat Fulham 8-2 in a pre-season friendly at their Cobham training ground.
Hii partnership mi mwenyewe naiwaza sana, itakuwa ni shida maana wote ni wapiganaji.Wow!!!!! Hawa ndo watatengeneza Chelsea ya viwanda... Tukutane Agosti.![]()
uchochoro huo ......... hamna kitu, bora moses mara 800.Danilo ni Bonge la wing back, anapiga cross hata marcelo hamfikii,,kwa waliomuona
Akicheza madrid kabla Carvajal haja take over wanaelewa.
Madrid Danilo anachukiwa na washabiki kama scape goat tu Coz walipoteza game kadhaa ambazo yeye alicheza,,pia ana matatizo kidogo( kwenye positioning na tackling) defensively but he not as bad as our Moses.
Madrid wanatumia 4 3 3 so jana alikua anacheza ka full back, chelsea tunaotumia 3-4-3 jamaa atafit sana as a wing back coz yuko vizuri SANAA offensively.
Mimi NAAMINI without a doubt Danilo atafanya vizurii sanaa tukimchukua na tunaeza kumsahau kabisa Moses
wakati mwingine ukihitaji ushindi chezesha mastrike wawili mmoja kama winger mwingine namba 9 ukienda madrid hili wamefanikiwa benzema na ronaldo wote ndani na sie tujaribu mfumo huoHatuwezi kuchukua wote mmoja wao anaitajika
mpaka anakaa benchi atakuwa medium playeruchochoro huo ......... hamna kitu, bora moses mara 800.
kuna kipindi alikuwa majeruhi atakuwa ameponaLOIC REMY NEWS
Loic Remy will leave Chelsea this summer with Marseille, Southampton and Everton interested in signing the French forward.
Remy scored twice yesterday as Chelsea beat Fulham 8-2 in a pre-season friendly at their Cobham training ground.
Huyu jamaa alikuwa Crystal Palace kwa mkopo, majeruhi yakamkumba huko akakaa nje ya uwanja mpaka msimu umeishaDah! Hivi huyu jamaa bado yuko? Ndio maana nimeshangaa kuona ni mmoja wa wafungaji ina maana alikuwa kwa mkopo?