Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
BREAKING: Bakayoko fails his medical. Knee injury the most probable culprit.
(SkySportsNewsHQ)
YHWH IS GOOD
(SkySportsNewsHQ)
YHWH IS GOOD
Waende tuBREAKING NEWS
Chelsea have granted permission for Diego Costa and Nemanja Matic to miss the club's pre-season tour of the Far East.
Sky sources understand there is no way back for Costa at Chelsea and his career at Stamford Bridge is now over.
He has been linked with a return to Atletico Madrid.
Meanwhile, Matic has been strongly linked with a move to Manchester United.
Sawa mkuu.. Lakini hatujapata mbadala wa CostaWaende tu
ukarabati ni msimu wa 2020/21 na uwanja wa home utakuwa Wembleydaa game zetu saba kati ya kumi za mwanzo ni ngumu balaa halafu naona conte kama atatimuliwa mapema. Halafu wadau naomba mnijuze game za chelsea zitapigwa stamford bridge wakati nilisikia uwanja huo utakuwa kwenye ukarabati msimu huu na tutatumia uwanja wa westham au wembley. Vipi imekuwaje sasa.
sijui kama tutapata mbadala zaidi ya diegoSawa mkuu.. Lakini hatujapata mbadala wa Costa
Naamini batshuay ataifanya kazi yake vizuriSawa mkuu.. Lakini hatujapata mbadala wa Costa
Hii ni fake newsBREAKING: Bakayoko fails his medical. Knee injury the most probable culprit.
(SkySportsNewsHQ)
YHWH IS GOOD
Usishangae ukisikia kasaini Man utdTiemoue Bakayoko has passed his medical and will be confirmed as a Chelsea player on Saturday. (L'Equipe)
Lets wait. ...![]()
Kizembe hivo ???Usishangae ukisikia kasaini Man utd
Gogle
CHELSEA SIGN BAKAYOKOWelcome to Chelsea, Tiemoue Bakayoko!![]()