ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
jamaa ni uchochoro kinoma noma ........ kuna fainali moja na atletico Carasco alimpindua pindua mpaka huruma.![]()
![]()
![]()
kwanini mkuu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
jamaa ni uchochoro kinoma noma ........ kuna fainali moja na atletico Carasco alimpindua pindua mpaka huruma.![]()
![]()
![]()
kwanini mkuu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Uyu jamaa ni mkali hawezi shindwa. Haji uingereza kutafuta maisha anakuja kutafuta makombe. Ataiweza tuuAubameyang mwondoe hapo maana kwangu sidhani ligi ya Uingereza hataiweza
Kwa mwili ule wa Aubameyang, EPL itakuwa ngumu. Pale unahitaji strikers wenye ubavu jamii ya Zlatan, Drogba, Diego et al. EPL hata akienda Messi atatulizwa tu.Kikweli aubameyang haiwezi ligi ya Uingereza...
sheria zinasemaje kama first eleven haina mwingereza?kama sheria zinaruhusu kiko bomba kikosi hichoWakuu mnaonaje kama mambo yatakuwa hivi pale darajani..?![]()
Mastaa wametosha tunataka watu was kazi uefa fa EPL darajan mwakaniHvi Timu yetu Mbona ipo kimya kusajili ma star wa kweli? ?
Hapo kwa Pedro tungempata james rondrigues ingekuwa poaWakuu mnaonaje kama mambo yatakuwa hivi pale darajani..?![]()
Sheria ni team iwe na Waingereza ila sio lazima waanze kikosi cha kwanzasheria zinasemaje kama first eleven haina mwingereza?kama sheria zinaruhusu kiko bomba kikosi hicho
Mnataka kikiBREAKING NEWS
Chelsea have made a move to sign Alvaro Morata from Real Madrid, according to Sky in Italy.
The Blues are set to miss out on the signing of Romelu Lukaku to Manchester United and have now turned their attentions to securing a deal for the Spain international.
hapo ni wapi?Naona tizi limeanza