Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.
Yeah. Lkn inahitajika middle nyingine. Km Bakayoko
 
Chelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.
Nimetoka kumcheki Aubameyang aaah ana uwezo kiasi, akija EPL na ile mikiki atakuwa bomba zaidi.
 
Sizitaki mbichi hizi...
Sent from my MAX 5 using JamiiForums mobile app
Acha kujitekenya mwenyewe! dogo" Angalia comments za nyuma kabla hat hajasajiliwa na man useless, utaelewA msimamo wake .......
 
huyu ataanzia benchi au ndiyo atamreplace cahil? Ni vyema nguvu zikaelekezwa kwa mastreka zaidi kuliko nyuma. Yupo kijana alikuwa anacheza ujerumani anaitwa chrinsten nilitegemea ndiyo angechukua nafasi ya huyo rudiger
Kuna mtu atakaa benchi asipojiangalia jamaa ni bonge la beki na hawa luiz na cahil wajiangalie mmoja wao lazima akalishwe bench
 
Chelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.
Moses mimi ninaona apate mwenzake tu kuna wakati anaboa sana
Kuhusu striker ni kweli tunahitaji mmoja tu lakini batshuay asiuzwe abaki huyu jamaa naona ni nafasi tu amekosa yupo vizuri
 
Bakayoko atakuja italazimisha Matic kuondoka. Nakuhakikishia kumleta Bakayoko ni kama kucheza kamari tofauti na Matic ambaye ni mzoefu ktk ligi

Chelsea wamegoma kumuuza Matic kwa Man Utd baada ya Utd kuvamia deal la Lukaku. Sasa Matic nadhani itabidi atafute team nyingine kama ana nia ya kusepa
 
Nimetoka kumcheki Aubameyang aaah ana uwezo kiasi, akija EPL na ile mikiki atakuwa bomba zaidi.
Kikweli aubameyang haiwezi ligi ya Uingereza jinsi anavyocheza kwangu bora belote na morata lakini sio huyo
Ligi ya Uingereza ni nguvu mno kwa mabeki hatafanikiwa kama huko ujerumani
 
Moses, Drogba, Etoo Walikuwa wanazisaidiaje timu za mataifa yao? Lkn mziki wao ulaya si ulikuwa unauona?
Tofauti ya hawa uliowataja na aubameyang ni kwamba piere hana nguvu kukabiliana na mabaki wa ligi ya uingereza
 
Bakayoko atakuja italazimisha Matic kuondoka. Nakuhakikishia kumleta Bakayoko ni kama kucheza kamari tofauti na Matic ambaye ni mzoefu ktk ligi
Unasema kweli. Lakini kubali kataa tunahitaji mchezaji mmoja mmoja ktk kila idara. Na ndio maana kipa kaja, beki tayari, middle aje Bakayoko, then killing striker hasa Belloti, Aubameyang au Morata. Hapo kidogo tunaweza kuleta changamoto bhana. Lakini kiukweli Matic anahitaji changamoto
 
Aubameyang mwondoe hapo maana kwangu sidhani ligi ya Uingereza hataiweza
 
Emenalo anatakiwa kumsikiliza conte sasa akamchukue morata haraka sana hili ni chaguo jingine la conte akikosekana huyu ndio belote chaguo la pili la conte
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom