mourinho katunyanganya lukaku wetu naona bado anahasira na chelsea
We mfipa ni chelsea fan pia?
mourinho katunyanganya lukaku wetu naona bado anahasira na chelsea
Acha aende Bolingoli na sisi tutamchukua Morata au BellotiLukaku to man useless confirmed
Mim zaidiKumkosa Lukaku roho yangu imesuuxika
Sizitaki mbichi hizi...Kumkosa Lukaku roho yangu imesuuxika
kivip mkuu au wafipa sio fans wa chelseaWe mfipa ni chelsea fan pia?
mkuu hivi udhaifu wa lakaku ni upi? huyo lukaku ndiyo mchezaji wa 2 epl kwa siscore goli nyingi vip useme humtakiMim zaidi
kuwapata hao ni probability ngoja tusubiriAcha aende Bolingoli na sisi tutamchukua Morata au Belloti
hivi aliscore goli ngapi msimu ulioisha?maana anasemwasemwa sanaGuys the only striker who can perfom ka tunavyotaka at chelsea for now ni Morata,,Belloti personally nimemuona game ka tatu (za ligi) sio straika hatari kiivyo
Siyo vizuri kujipa hope bila mikakati, kumbuka msimu ujao tutakuwa na mashindano mengi, na soko la wachezaji limebadilika sanaStriker atapata tena mzuri kuliko huyo lukaku
huyu ataanzia benchi au ndiyo atamreplace cahil? Ni vyema nguvu zikaelekezwa kwa mastreka zaidi kuliko nyuma. Yupo kijana alikuwa anacheza ujerumani anaitwa chrinsten nilitegemea ndiyo angechukua nafasi ya huyo rudigerAntonio Rudiger ... Deal done!![]()
Beki mshahara jembe hili
Chelsea inahitaji striker mmoja tu kuchukua nafasi ya Costa. Nafikiri Aubameyang ndo mtu sahihi kwetu. Nyuma pamekamililka, kati kuna Matic, Kante, Moses, Alonso, na mbele akiwepo Harzad na Pedro tunakuwa fit.Yan hapa bado middle mkata umeme, kiungo na striker mmoja
Hapo sasa tunaweza kuwa wapinzani wa kweli. Japo hapo kwenye kiungo c hitaji kubwa sana