Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio mpira umeshafika huko kama unataka kushindana lazima uendane na mabadiliko na unavyozidi kuchelewa bei inazidi kuongezeka,umesahau kuwa Chelsea walimuuza Luiz £50m,Oscar £60m na Costa alitaka kununuliwa kwa £70m January Tangu Mourinho alivyorudi Chelsea iliingiza hela nyingi sana kuuza wachezaji.Wachezaji wanaotakiwa na Chelsea Rudiger,Bakayoko hawafiki hata £40m lakini mpaka leo hajasajiliwa hata mmoja,nakukumbusha Conte aliondoka Juve baada ya kuona wachezaji anaowataka hawasajiliwi

Chelsea wamefanya kosa kubwa sana kumtimua Costa sidhani kama mtapata striker anayemfikia

Yaani, hakuna kitu kilichonifurahisha na kunipa amani ndani ya Chelsea kama kutimuliwa kwa Costa
 
Niliwaambia last month uongozi wa Chelsea uko slow sana kwenye issue za usajili wa wachezaji,Chelsea wangeweza kumsajili Lukaku tangu ligi imeisha,kumbuka Conte alishasema hamtaki Costa so management ilipaswa kuweka kipaumbele usajili wa Lukaku
Sidhani kama conte chaguo lake ni lukaku

kufukuza ni rahisi kupata striker no .9 ni inshu
Mpira ni mfumo tu, Unaweza cheza style isiyohitaji namba tisa na ukafunga na kuchukua ubingwa, timu kama Barca au R.Madrid hazina natural no 9, lakini Ronaldo na Mesi ni wafungaji wazuri tu
 
Sidhani kama conte chaguo lake ni lukaku
Chaguo la Conte ni lipi,na kwa nini hadi leo Chelsea hawajasajili mchezaji hata mmoja ? Last month mlikuwa mnasema wanasubiri July 1 baada ya kutambulisha jezi mpya
 
Mpira ni mfumo tu, Unaweza cheza style isiyohitaji namba tisa na ukafunga na kuchukua ubingwa, timu kama Barca au R.Madrid hazina natural no 9, lakini Ronaldo na Mesi ni wafungaji wazuri tu
Unajua mfumo wa Conte ? Au mtamfukuza aje Guardiola kuwaleta mfumo wa kucheza bila striker
Messi & Ronaldo wanaweza kufunga goli 60 kwa msimu Hazard tangu ametua Chelsea hajawahi kufunga hata goli 20 kwa msimu .
 
Usikariri kaka, Conte hana mfumo mmoja, na ndio maana alipoanza Chelsea hakuwa na mfumo huu wa 3-4-3, na ameshasema anataka kubadili mfumo na hiyo yote inatokana na michezo ambayo Chelsea itakuwa nayo Season inayokuja, CS, EPL, FA, League na UEFA, so inawezekana kabisa Timu kucheza bila ya natural number 9
 
Yaani, hakuna kitu kilichonifurahisha na kunipa amani ndani ya Chelsea kama kutimuliwa kwa Costa
Hakuna mchezaji mwenye ratio nzuri ya goals/games kwenye EPL kuliko Costa hapo Chelsea,mechi 89 magoli 52
 
Kwani ameondolewa kuwa hafungi?, hata mimi ningekuwa kocha ningempiga chini tu, kile kitendo cha kuihujumu timu kwenye wakati mgumu kiasi kile, mara anaumwa mara wachina, pale nilimwona hana maana hata kidogo
 
Usikariri kaka, Conte hana mfumo mmoja, na ndio maana alipoanza Chelsea hakuwa na mfumo huu wa 3-4-3, na ameshasema anataka kubadili mfumo na hiyo yote inatokana na michezo ambayo Chelsea itakuwa nayo Season inayokuja, CS, EPL, FA, League na UEFA, so inawezekana kabisa Timu kucheza bila ya natural number 9
Sidhani kama unamfahamu Conte,makocha wanaocheza mfumo wa bila striker wanajulikana Conte sio mmoja wake.Mifumo ya Conte ni 3-5-2 (huu ndio aliutumia Juventus) na 3-4-3/3-4-2-1 alivyokuja England alijaribu 4-1-4-1 baada ya kufungwa aka-switch to 3-4-3
 
Kwani ameondolewa kuwa hafungi?, hata mimi ningekuwa kocha ningempiga chini tu, kile kitendo cha kuihujumu timu kwenye wakati mgumu kiasi kile, mara anaumwa mara wachina, pale nilimwona hana maana hata kidogo
Huko nyuma mlisema Hazard,Fabregas,JT walimhujumu Mourinho mbona hawakuuzwa ?
 
Sidhani kama unamfahamu Conte,makocha wanaocheza mfumo wa bila striker wanajulikana Conte sio mmoja wake.Mifumo ya Conte ni 3-5-2 (huu ndio aliutumia Juventus) na 3-4-3/3-4-2-1 alivyokuja England alijaribu 4-1-4-1 baada ya kufungwa aka-switch to 3-4-3

Katika mifumo hiyo yote ya Conte, unaweza kucheza bila natural no9, ukiwa na wachezaji wazuri kama Pedro, Willian, Hzard pale mbele na ukawa na middle nzuri yenye uwezo wa kulisha na wing back zenye uwezo timu itashinda vizuri tu

Kwangu mimi, Timu inahitaji baki hata wawili, middle mmoja, na Batshuayi apewe nafasi ya kucheza
 
Huko nyuma mlisema Hazard,Fabregas,JT walimhujumu Mourinho mbona hawakuuzwa ?

Inategemea na kocha na kocha, coach ndio Manager, lakini pia kuna shida ya wamiliki wa hizi timu

Kuna kitu unapaswa kukijua, miaka ya Nyuma timu zilipokuwa za jumuiya au za wamiliki wengi, makocha walikuwa ni mameneja wa kweli walikuwa na mamlaka makubwa kwa wachezaji, lakini sasa ni tofauti, timu ni mali ya mtu mmoja, na yeye anakuwa na mahusiano ya kiurafiki na wachezaji, hivyo hata mmiliki wa timu anaweza kulianzisha zengwe kupitia kwa wachezaji ili coach aondoke
Ugomvi wa Mourihno na wachezaji ulikuwa na backup ya viongozi wa Chelsea na hata Raniel na wachezaji wa Leicester pia
 
Unajua mfumo wa Conte ? Au mtamfukuza aje Guardiola kuwaleta mfumo wa kucheza bila striker
Messi & Ronaldo wanaweza kufunga goli 60 kwa msimu Hazard tangu ametua Chelsea hajawahi kufunga hata goli 20 kwa msimu .

hao uliowataja dunia inakaa hakuna tena wengine kama hao
 
Mpira ni mfumo tu, Unaweza cheza style isiyohitaji namba tisa na ukafunga na kuchukua ubingwa, timu kama Barca au R.Madrid hazina natural no 9, lakini Ronaldo na Mesi ni wafungaji wazuri tu

barca wana mess na neymar lakin walimuongeza suarez no . 9
 
Lukaku lukaku..... Aende zake, tunae michy batshuayi na belotti anatakuja tuu mm sina wasiwasi

Cha msingi atleast wachezaji wa 3 wasajiliwe
 
Chaguo la Conte ni lipi,na kwa nini hadi leo Chelsea hawajasajili mchezaji hata mmoja ? Last month mlikuwa mnasema wanasubiri July 1 baada ya kutambulisha jezi mpya
Kuna mgogoro unaendelea kati ya emenalo na conte
Ndio maana conte anatishia kusepa
Kuhusu usajili muda upo atasajili tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom