Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Yuko sawa kabisa kuliko hata huyo Lukaku na heri ameenda huko Man utd..!Huyo bellot mi namsikia tu watu wakimsifia ila sijawahi kumuona akicheza
Yuko sawa kabisa kuliko hata huyo Lukaku na heri ameenda huko Man utd..!Huyo bellot mi namsikia tu watu wakimsifia ila sijawahi kumuona akicheza
Ni kweli.. Lakini kimya chao kinastaajabishaHawa ndio chelsea inatakiwa iwachukue
Rudiger
Alex sandro
Bakayoko
Belote
Batshuay asiuzwe abaki
Je wajua?
Kuna jezi ya chelseafc iliyosainiwa na wachezji wote kushindaniwa na washabiki wa the blues
jezi iliosainiwa na caballero kushindaniwa na washabiki wa the blues
ingia kwenye website yetu official ya chelseafc.com
tuma namba yako kwa message ntakuunga na group letu la whatsup kwa taarifa kama hizi na zingineConte alikua anamtaka Lukaku kwa udi na uvumba kiasi kwamba aliupa uongozi wa chelsea go ahead ya kumsajili kwa dau lolote......Chelsea wameniboa wanavosuasua na usajili, Conte ana haki ya kuzinguaConte nasikia amezingua tena
Anataka kuondoka chelsea
Ila tuvute subira watasajili mpaka tutakinai wenyeweConte alikua anamtaka Lukaku kwa udi na uvumba kiasi kwamba aliupa uongozi wa chelsea go ahead ya kumsajili kwa dau lolote......Chelsea wameniboa wanavosuasua na usajili, Conte ana haki ya kuzingua
Ndio soka limefika huko inabidi u-adapt unasahau kuwa Chelsea walimuuza Luiz 50m,Oscar 60m na Wachina walieta ofa ya 70 kwa Diego Costa JanuaryHuyu thamani yake ni 50-60 sema tuu sasa hivi ndo imekua mchezo kuuziana wachezaji bei kubwa
Sasa unamuuza morata 90mil ili iweje??? Wakati ni 60-70 ndo bei yake, huo ni usen..... Nimechukizwa basi tuu
hahaha mkuu hizo ni tetesi tu lukaku hawezi kwenda kwa mourinho kisa ni kitendo cha mourinho kumuuza lukaku akiwa chelsea bila matakwa yakeMtu kashafanyiwa hadi vipimo huko USA nyie mnasema tetesi.
tatizo sio bodi tatizo nikumpata mchezaji anayefiti ktk timu ambaye timu yake iko free kumuuza wengi wa wachezaji ambao conte anawahitaji bei zao ziko juu kuliko kawaidaWalidai baada ya uzinduzi wa jezi wangetangaza usajiri wa wachezaji wapya lakini mpaka sasa kimya inakatisha tamaa kweli yani hii bodi yetu.
Niliwaambia last month uongozi wa Chelsea uko slow sana kwenye issue za usajili wa wachezaji,Chelsea wangeweza kumsajili Lukaku tangu ligi imeisha,kumbuka Conte alishasema hamtaki Costa so management ilipaswa kuweka kipaumbele usajili wa Lukakuhahaha mkuu hizo ni tetesi tu lukaku hawezi kwenda kwa mourinho kisa ni kitendo cha mourinho kumuuza lukaku akiwa chelsea bila matakwa yake
Niliwaambia last month uongozi wa Chelsea uko slow sana kwenye issue za usajili wa wachezaji,Chelsea wangeweza kumsajili Lukaku tangu ligi imeisha,kumbuka Conte alishasema hamtaki Costa so management ilipaswa kuweka kipaumbele usajili wa Lukaku
Ndio mpira umeshafika huko kama unataka kushindana lazima uendane na mabadiliko na unavyozidi kuchelewa bei inazidi kuongezeka,umesahau kuwa Chelsea walimuuza Luiz £50m,Oscar £60m na Costa alitaka kununuliwa kwa £70m January Tangu Mourinho alivyorudi Chelsea iliingiza hela nyingi sana kuuza wachezaji.Wachezaji wanaotakiwa na Chelsea Rudiger,Bakayoko hawafiki hata £40m lakini mpaka leo hajasajiliwa hata mmoja,nakukumbusha Conte aliondoka Juve baada ya kuona wachezaji anaowataka hawasajiliwiKaka wachezaji kwa sasa hawakamatiki kabisa, wako ghari mno, Sasa kweli Lukaku wa kuuzwa 75£Mil kweli? So Chelsea watasajili tu tena wachezaji wazuri hasa ukizingatia kuwa ni wachezaji wachache tu ndio wanahitajika
kwangu kumpoteza lukaku akaenda man u itakuwa maumivu makali mchezaji tuliyemlea tunashindwa kumrudisha?Niliwaambia last month uongozi wa Chelsea uko slow sana kwenye issue za usajili wa wachezaji,Chelsea wangeweza kumsajili Lukaku tangu ligi imeisha,kumbuka Conte alishasema hamtaki Costa so management ilipaswa kuweka kipaumbele usajili wa Lukaku
mzee wa messageconte mzee wa meseji kwenda kwa mwamba costa sisi kama man city tumewapa kipa
Ndio mpira umeshafika huko kama unataka kushindana lazima uendane na mabadiliko na unavyozidi kuchelewa bei inazidi kuongezeka,umesahau kuwa Chelsea walimuuza Luiz £50m,Oscar £60m na Costa alitaka kununuliwa kwa £70m January Tangu Mourinho alivyorudi Chelsea iliingiza hela nyingi sana kuuza wachezaji.Wachezaji wanaotakiwa na Chelsea Rudiger,Bakayoko hawafiki hata £40m lakini mpaka leo hajasajiliwa hata mmoja,nakukumbusha Conte aliondoka Juve baada ya kuona wachezaji anaowataka hawasajiliwiKaka wachezaji kwa sasa hawakamatiki kabisa, wako ghari mno, Sasa kweli Lukaku wa kuuzwa 75£Mil kweli? So Chelsea watasajili tu tena wachezaji wazuri hasa ukizingatia kuwa ni wachezaji wachache tu ndio wanahitajika
kwangu kumpoteza lukaku akaenda man u itakuwa maumivu makali mchezaji tuliyemlea tunashindwa kumrudisha?