Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

4a4dc788d4959ce75c8ee28343941810.jpg

Hii ni mali aisee tukiipoteza tutakua tumezingua
 
[emoji91]MSIMU MPYA MAMBO MAPYA [emoji91]
[emoji778]Group letu la whatsup tumechomoa mamluki tunatafta washabiki blue wa ukweli
[emoji778]tuanze msimu mpya na mambo mapya
[emoji778]habari mpya na michezo kama kawa
[emoji778]mawazo yako ndo muhimu
[emoji778]tupia namba yako inbox niku add fasta
 
[emoji91]MSIMU MPYA MAMBO MAPYA [emoji91]
[emoji778]Group letu la whatsup tumechomoa mamluki tunatafta washabiki blue wa ukweli
[emoji778]tuanze msimu mpya na mambo mapya
[emoji778]habari mpya na michezo kama kawa
[emoji778]mawazo yako ndo muhimu
[emoji778]tupia reply apa niku add
Mkuu kuweka Namba hapa ni msalaa Sanaa labda inbox
 
BREAKING NEWS

Swansea have completed a season-long loan for Tammy Abraham.

The 19-year-old striker has also signed a new five-year deal with Chelsea.

Abraham has just returned from international duty with England at the European U21 Championship and will join Swansea on their pre-season tour of America.

IMG_20170704_171747.jpg
 
Hao madogo kama wajanja bora wakubali nunuliwa hata na timu ndogo wakacheze kuliko kila siku benchi na mkopo
 
Hao madogo kama wajanja bora wakubali nunuliwa hata na timu ndogo wakacheze kuliko kila siku benchi na mkopo
Mishahara pia. Kama anaenda Swansea na anapata nafasi akiwa kwa mkopo basi ni vyema akajishikisha Chelsea maana hao ndo wanadetermine mshahara wake tofauti na akinunuliwa na hizo timu ndogo.
 
mfumo hauna shida tatizo ni ligi yenyewe ya uingereza wachezaji wengi wanapata tabu kuizoea
Halafu sijui kwa nini wachezaji wengi huwa inawachukua muda kuzoea
Ila kama anajua halafu akizoea inakuaga poa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom