Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani tunge pata hawa
1.sandro
2.andrea belott/lukaku
3.michael antonio
4.mahrez
5.beki ya kati ya maana
6.matic out bakayoko in

Natangaza ubingwa day one
Mkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.

Kwanini tusimtengeneze Chalobah wakati tunamtayarisha Matic kuondoka. Au kwanini tusimtengeneze Ake wakati tunatayarisha kumundoa Cahil njiani.

Maana wachezaji kama Bakayoko wamepewa nafasi ndio maana wako vizuri. Mwisho wa siku utakuta tunaanza kutaka msajili mchezaji tuliemuuza wenyewe. Mfano Lukaku huyu. Nina wasiwasi kama Chalobah atabaki au ataongeza mkataba wakati unapoisha baada ya msimu mmoja. Na hawa madogo Ake (endapo ataondoka), Christensen (kama nae hatapata nafasi na kuondoka), Solanke au yule Thogan Hazard unataja sikia twawataka baadae.....
 
Ndivyo ilivyo hiyo huwa sijui kwanini hatuwapi nafasi madogo halafu mwisho wa siku tunawataka tena kwa mkwanja mrefu.

Huyu Lukaku hana tofauti na Batshuay ni kumpa nafasi tu aoneshe uwezo tuachane na lukaku mbadala wa Costa kuna Moratta na Belloti .
 
Kweli kabisa, maana imebidi nimfuatilie Bakayoko kwa makini na nimfuatilie Chalobah pia (japo yeye anamechi chache) lakini potential is there anahitaji nafasi tu na pengine anaweza kuwa hata zaidi ya Bakayoko.

Kuhusu Lukaku hata mimi bado sijaafiki kumrudisha, sio mchezaji wa mechi kubwa. Ni bora mara kumi aje Morata au tumuache Batchuayi tu nunua winga mwingine kama James tuwe tunacheza na false 9 muda mwingine ambapo Hazard au Pedro wapo vizuri tu. Mbaya zaidi sidhani kama Lukaku ni chaguo la kocha. Ila kama ni chaguo lake tusubiri tu tuone itakuwaje.

Ila hawa vijawa wetu wadogo naona kabisa watapotea wote au watatufanyia kama Solanke, watagoma kusaini mikataba mipya watasubiri iishe waondoke free.
 
Mkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.

Kwanini tusimtengeneze Chalobah wakati tunamtayarisha Matic kuondoka. Au kwanini tusimtengeneze Ake wakati tunatayarisha kumundoa Cahil njiani.

Maana wachezaji kama Bakayoko wamepewa nafasi ndio maana wako vizuri. Mwisho wa siku utakuta tunaanza kutaka msajili mchezaji tuliemuuza wenyewe. Mfano Lukaku huyu. Nina wasiwasi kama Chalobah atabaki au ataongeza mkataba wakati unapoisha baada ya msimu mmoja. Na hawa madogo Ake (endapo ataondoka), Christensen (kama nae hatapata nafasi na kuondoka), Solanke au yule Thogan Hazard unataja sikia twawataka baadae.....
Si kila mwenye miaka 22 ni bora kuna wengine umri wa miaka hiyo bado hawajionyeshi kuwa ni mastaa wa soka
Kwa chalobah bado hajiamini kama anatakiwa kuwa katika team kubwa
Ila kwa bakayoko ameonyesha yeye ni star mkubwa japo ana miaka 22 kama chalobah
Chalobah anapata nafasi ila haonyeshi
 
Ukitaka mchezaji mdogo ajimini na kukupa utakacho kama kocha lazima umtengeneze. Sidhani kama huyu Bakayoko angekuwa hivyo na kocha wengine kumuona kama asingepewa zaidi ya nafasi 25 alizopewa akiwa Monaco. Na wakati huo huo Chalobah kapewa nafasi ngapi akiwa Chelsea? Bakayoko alianza kama alivyokuwa Chalobah akiwa Rennes.

Ila timu ikionyesha kukuamini lazima nawe utafanya ya ziada. Haya na Ake nae hajiamini? Sasa hivi wanataka kumuuza Bournemouth na kuweka kipengele cha kununua tena (buy-back option).
 
Kuna team za kuwapa nafasi wachezaji chipukizi sio chelsea ambayo inataka mataji makubwa makubwa
Kama unataka wapewe nafasi basi usidai ubingwa wowote ule tukubaliane hapo
Sisi tutaangalia waliokomaa tayari ili waje kuisaidia team kutwaa mataji
Chelsea ni team ya mataji makubwa na kama ni hivi basi hatuhitaji kuwapa chipukizi nafasi bali kununua ambao wamekomaa katika team nyingine

Hao chalobah Ake sijui aina wauzwe tu ila tuweke hicho kipengele kama akija kuwika tuwe wa kwanza kumnunua

Hii ni team ya mataji makubwa sio kujaribu chipukizi na tungewachezesha hao unaosema hata ubingwa wa league tungeusikia tu
 
Kwani mbona timu kama Madrid inawapa nafasi watu kama Asesio, Barcelona inawapa akina Sergio wale na wanafanya vizuri tu Bayern Munich nao unaonaje. Its all about faith Mkuu na mfumo wenu wa timu. Timu yetu haiwapi nafasi vijana hata kidogo
 
Chelsea huwa inawatoa kwa mkopo hao madogo, lakini wengi wanashindwa kurudi wakiwa fit, Nathan Ake bado yupo slow, Moses alizunguka huku na kule na karudi yupo fit,
Cha muhimu ni kwa Chelsea kumwacha Chalobah aende kucheza kwa mkopo apate uzoefu ili aje kugombea namba vizuri
Timu kama Chelsea sio ya Kutengeneza wachezaji ni timu ya kutafuta makombe, hivyo inahitaji readymade players
 
Bertrand Traore has today completed a permanent transfer to French top-flight side Lyon.

The report from Chelsea website written that; The attacker, who joined Chelsea from Association Jeunes Espoirs De Bobo-Dioulasso in his native Burkina Faso, became a first-team player at Stamford Bridge only a few days after his 20th birthday and proved capable of providing important back-up and support for Diego Costa during the 2015/16 season.

Traore spent last season on loan at Ajax whom he helped to runners-up spot in the Dutch top flight and the Europa League final where they were defeated by Jose Mourinho’s Manchester United. In the semi-final Ajax beat Traore’s new club Lyon. He scored two of the goals.

traore-transferred-.img.png

Bertrand Traore
 
Mkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.

Kwanini tusimtengeneze Chalobah wakati tunamtayarisha Matic kuondoka. Au kwanini tusimtengeneze Ake wakati tunatayarisha kumundoa Cahil njiani.

Maana wachezaji kama Bakayoko wamepewa nafasi ndio maana wako vizuri. Mwisho wa siku utakuta tunaanza kutaka msajili mchezaji tuliemuuza wenyewe. Mfano Lukaku huyu. Nina wasiwasi kama Chalobah atabaki au ataongeza mkataba wakati unapoisha baada ya msimu mmoja. Na hawa madogo Ake (endapo ataondoka), Christensen (kama nae hatapata nafasi na kuondoka), Solanke au yule Thogan Hazard unataja sikia twawataka baadae.....
Tatizo kubwa lipo board na kocha wao Jose Mou (pindi anapokuja Chelsea huuza majembe yote then mwisho wa Siku pesa ndefu hutumika kuwarudisha)

Mou alimtoaga Matic, Lukaku, Juan Mata e.t.c

Lakn Mou akitaka player board huwa inatekeleza haraka kuliko makocha wengine kama conte?

Haifai kulinganisha nyakati hizi mbili tofauti lakini kila ukiangalia nyuma unaumia
 
Kweli kabisa, maana imebidi nimfuatilie Bakayoko kwa makini na nimfuatilie Chalobah pia (japo yeye anamechi chache) lakini potential is there anahitaji nafasi tu na pengine anaweza kuwa hata zaidi ya Bakayoko.

Kuhusu Lukaku hata mimi bado sijaafiki kumrudisha, sio mchezaji wa mechi kubwa. Ni bora mara kumi aje Morata au tumuache Batchuayi tu nunua winga mwingine kama James tuwe tunacheza na false 9 muda mwingine ambapo Hazard au Pedro wapo vizuri tu. Mbaya zaidi sidhani kama Lukaku ni chaguo la kocha. Ila kama ni chaguo lake tusubiri tu tuone itakuwaje.

Ila hawa vijawa wetu wadogo naona kabisa watapotea wote au watatufanyia kama Solanke, watagoma kusaini mikataba mipya watasubiri iishe waondoke free.

Chelsea inafanya biashara
 
Traore pauni milions 16
Chelsea to ufaransa

Ake Nathani pauni milions 20
Chelsea to bounermouth
 
Jamani Ake ameuzwa!! vijana wote wale 23 waliotolewa mkopo amna at a may span dishes msimu ijayo...Chama haijatenda haki kwa hawa vijana japo Moses nae ametolewa mkopo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom