Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Waungwana wa humu hongereni sana kwa mafanikio makubwa msimu huu. Sasa muelekeze nguvu Kwenye kampeni za UEFA baadaye mwaka huu. Hongereni kwa ubingwa.
Ahsante mkuu. Karibu tusherekee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
7222227d82cbc31eb755dd1b6bcf367d.jpg


Kuna mwenye swali jamani...?
 
Tukichukua hata FA itanoga sana
Kaka tutachukua hilo, wachezaji wetu kwa sasa watarelax na watapumzika na pressure ya league, kwa hizo mechi mnili zilizobakia kitacheza kikosi cha pili, lakini kwa upande wa Arsenal wako kwenye mchakato wa kugombea nafasi ya nne so watajituma kwenye hizo mechi mnili zilizobaki na siku ya fainal watakuwa hoi

TUNACHUA KAKA
 
Japo kaishiwa mbinu ila naamini bado msimu ujao watakuwa vizuri zaidi ya msimu huu. Kikubwa ambacho nadhani Mourinho anakosea ni hawezi kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji

Nadhani pia amefikia mwisho kwenye ubunifu, kwa sababu kwa Mou tunayemjua sisi watu wa Chelsea isingekuwa rahisi kutoa 89Mil kwa Pogba wakati thamani hiyo ni sawa na Kante 30Mil, Matic 21Mil, Hazard 32Mil na Victor Moses 9Mil, yaani Pogba mmoja ni sawa na hizo mashine nne za Chelsea kweli? Pogba hamfikii Kante hata nusu Sembuse Hazard
 
Pole sana kaka, msimu uliopita ilikuwa ni hivyo kwa Leicester City, msimu huu The Blues, mwakani itakuwa ni shida zaidi kwani Chelsea tunataka back to back
Mkuu tuko na wewe kambi moja. Spurs is the best club for nothing. Yaani UEFA wamesepa mapema, europa ndo hajaonja hata usindi, FA katolewa na madume ,capital one ndo usiseme, akawa na matumaini ya kushinda ubingwa ila cha ajabu ile hope ya kupunguza gap hadi point moja amejikuta gap imekuwa kubwa hadi point kumi ndani ya wiki moja na visiku. Mi naidharau sana spurs kiliko hata asernal manake wao kila msimu kikosi kinatisha lakini hawashindi chochote. Poor spurs. Ila tuungane kwa pamoja tuangalie jinsi ya kutetea taji pale darajani.
 
Japo kaishiwa mbinu ila naamini bado msimu ujao watakuwa vizuri zaidi ya msimu huu. Kikubwa ambacho nadhani Mourinho anakosea ni hawezi kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji
moyes na van gaal walituachia wachezaji mizigo sana, mourinho ana kazi ya kusafisha safisha kile kikosi, ila kafanya nae nianze kuhisi ni wale wale kitendo cha kumuongezea mkataba lingard na kumfanya kuwa mwanae mpendwa,
 
moyes na van gaal walituachia wachezaji mizigo sana, mourinho ana kazi ya kusafisha safisha kile kikosi, ila kafanya nae nianze kuhisi ni wale wale kitendo cha kumuongezea mkataba lingard na kumfanya kuwa mwanae mpendwa,
Ki-ukweli kabisa Mkuu mimi Mourinho najua ni kocha mzuri. Naamini kwa hela atakazopewa na kutumia kusajili wachezaji anaowataka, msimu ujao mtakuwa vizuri sana. Ila akishaanza maneno yake ya dharau na uzalilishaji kwa wachezaji ndio huwa ana haribu na kutaka kuchezesha wachezaji nafasi ambazo sio zao (kama mechi ya juzi kwa Arsenal, Mikhtarian na Mata walikuwa kama mabeki wa pembeni kuna muda)

Hapo ndio wachezaji wanaanza mgomo baridi mwishoe yeye ndo anaondoka na timu inakuwa imeharibu mbaya kabisa. Kumbuka hajawai kukaa kwenye timu zaidi ya misimu mitatu.
 
moyes na van gaal walituachia wachezaji mizigo sana, mourinho ana kazi ya kusafisha safisha kile kikosi, ila kafanya nae nianze kuhisi ni wale wale kitendo cha kumuongezea mkataba lingard na kumfanya kuwa mwanae mpendwa,

Nina wasiwasi sana na Mourinho, sijui kama kuna mabadiriko yoyote atakayofanya
 
*Chelsea's road to the title*

*1) Chelsea 2-1 West Ham*
Costa's late winner got the Blues off to a winning start

*2) Watford 1-2 Chelsea*
Batshuayi hit home a rare Chelsea goal on the way to
victory

*3) Chelsea 3-0 Burnley*
Hazard opened the scoring in easy win at Stamford
Bridge

*4) Swansea 2-2 Chelsea*
Blues' 100% start is ended at the Liberty Stadium

*5) Chelsea 1-2 Liverpool*
Conte suffers first defeat as Henderson scores stunner

*6) Arsenal 3-0 Chelsea*
Blues are thrashed by rampant Gunners in London derby

*7) Hull 0-2 Chelsea*
Willian and Costa secure win for new-look Blues

*8) Chelsea 3-0 Leicester*
Costa scores seventh of season as champions are
thrashed

*9) Chelsea 4-0 Man United*
Kante wraps it up as Conte thrashes predecessor
Mourinho

*10) Southampton 0-2 Chelsea*
Hazard and Costa secure fourth-straight win

*11) Chelsea 5-0 Everton*
Blues go top as Hazard double sees off sorry Toffees

*12) Middlesbrough 0-1 Chelsea*
Costa secured hard-fought win at the Riverside

*13) Chelsea 2-1 Tottenham*
Pedro and Moses secure key win over title rivals

*14) Man City 1-3 Chelsea*
Blues see off Pep's men in style in feisty Etihad clash

*15) Chelsea 1-0 West Brom*
Costa nicks winner as leaders make it nine victories on
the spin

*16) Sunderland 0-1 Chelsea*
Fabregas on target as Blues pick up another clean sheet

*17) Crystal Palace 0-1 Chelsea*
Costa heads winner in Selhurst Park success

*18) Chelsea 3-0 Bournemouth*
Pedro opens scoring in Boxing Day rout

*19) Chelsea 4-2 Stoke*
Willian scores twice as Conte's men are given scare

*20) Tottenham 2-1 Chelsea*
2017 gets off to losing start as Alli scores twice at White
Hart Lane

*21) Leicester 0-3 Chelsea*
Blues bounce back in style as Alonso bags double

*22) Chelsea 2-0 Hull*
Skipper Cahill secures another win at Stamford Bridge

*23) Liverpool 1-1 Chelsea*
Luiz scores stunning free-kick in Anfield draw

*24) Chelsea 3-1 Arsenal*
Alonso opens the scoring as Gunners are beaten at the
Bridge again

*25) Burnley 1-1 Chelsea*
Brady stunner denies Blues three points at Turf Moor

*26) Chelsea 3-1 Swansea*
Fabregas opens the scoring as Blues remain on top

*27) West Ham 1-2 Chelsea*
Hazard strikes as Conte's men win at London Stadium

*28) Stoke 1-2 Chelsea*
Captain fantastic Cahill heads late winner as Conte goes
wild

*29) Chelsea 1-2 Crystal Palace*
Benteke winner gives Spurs hope in title race

*30) Chelsea 2-1 Man City*
Hazard at the double as Blues secure vital win over
Guardiola's men

*31) Bournemouth 1-3 Chelsea*
Alonso free-kick wraps up another three points on the
south coast

*32) Man United 2-0 Chelsea*
Rashford and Herrera on target as Mourinho gets one over
on former club

*33) Chelsea 4-2 Southampton*
Costa strikes twice as Conte's men close in on title

*34) Everton 0-3 Chelsea*
Blues overcome toughest hurdle in run-in with Goodison
Park success

*35) Chelsea 3-0 Middlesbrough*
Costa opens scoring to take Blues within a win of the title

*36) West Brom 0-1 Chelsea*
Batshuayi scores the title-winning goal
 
Leo mbwa kaamua kula mwba mwenziwe kwenye sherehe ya kuaga w.h.l stadium. Hawa majirani walitupigia kelele sana leo msiba umewageukia. Najua tayari wameshaanda jibu kwamba wamefocus kwenye europa. Ok!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom