Waje wafanye nin hapa. Wakati wanauguza maumivu kimya kimyawazee wa mind the gap mu-wapi?teh....
Wakuu niko mbali na tv, hivi leo mabingwa tulivoingia uwanjani watford walipanga parade ya heshima? Kama ndio naombeni picha tafadhali
Yap ila haikuwa na mapambo mengi wachazaji wa watford walitoa heshima kama kawaida kwa mabingwa. Gemu ijayo ya kufunga ligi na kukabidhiwa kombe ndo naisi itanoga zaidi .Wakuu niko mbali na tv, hivi leo mabingwa tulivoingia uwanjani watford walipanga parade ya heshima? Kama ndio naombeni picha tafadhali
Huyo Willian naona leo kaambiwa timu aiendeshe yeye, anapiga mpira hatari. Hazard na Kante naona watakuwa wameambiwa wajiangalie wasije umia fainal karibuniMpira wa leo ni zaidi ya utamu . yaani hamna tofauti kati ya bench na regular first 11 . mwendo ni ule ule