Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,979
- Thread starter
- #39,121
Chelsea 3 - 1 Watford
J. Terry 22' - Capoue 24'
Azpilicueta 36'
Batchuayi 49'
J. Terry 22' - Capoue 24'
Azpilicueta 36'
Batchuayi 49'
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] halafu katoa assist ya goli la mwishoHahaha Willian..nilishaanza kumtukana kimoyomoyo
Good ideaTukamilishe 30 wins 93 points 50+ goals itakuwa poa[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Zouma sio beki lile ni mzigo!" ........auzwe tu!" mfumo w mabek wa3 haumfai, beki gani anakimbia kama ana mawe miguuniKweli leo nimeelewa kwa nini Zouma na Terry walikuwa hawapangwi. Wanaingiliana tu wenyewe pale nyuma, hakuna mtu anasubiri awe back-up ya mwenzake.
Sijui ndio wanataka kumfurahisha Kocha mwishowe wanajikuta wanaharibu tu
Tusimlaumu jamani zuma alikua mchezaji mzuri sana kabla ya kupata injury. Tangia arudi dimbani hajarudi kwenye form yake tumpatieni tu muda kwanzaZouma sio beki lile ni mzigo!" ........auzwe tu!" mfumo w mabek wa3 haumfai, beki gani anakimbia kama ana mawe miguuni
HakikaJodi alba
Andrea belote
Alvaro morata
Wakitua chelsea itakuwa poa sana